stonecutter
JF-Expert Member
- Jun 12, 2022
- 1,724
- 2,584
Dr naona unapambana na magaidi.Watu wa Gaza wakiona unaaandika ushuzi kama huu wakati wao kila siku wanakufa Kwa dozens watakutia madole.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dr naona unapambana na magaidi.Watu wa Gaza wakiona unaaandika ushuzi kama huu wakati wao kila siku wanakufa Kwa dozens watakutia madole.
Tatizo la magaidi Wana kaswende za ubongo.Dr naona unapambana na magaidi.
Ni mjinga pekee yake anayewaza kufikiri Marekani na Israel wanaweza kuifuta iran.wale wanajiweza hata kisayansi.Iran hapa wametumia akili sana kwa kukunja mkia na kunyamaza ndani licha ya kila jitihada kufanywa kuwashika hadi masharubu. Iran ilisema Israel wakiingia Gaza watakua wamevuka mstari, aisei Marekani wakaleta gumeli kama lote na kuweka pale na kusema mwenye kifua ajaribu hata kujikuna, Israel wamepiga pale Gaza, wameingia kote kote na kuvuka kila mstari na kusambaratisha ghasia yote, Iran hakufanya chochote.
Hapa Iran nawapa hongera waliposhtukia mchezo wakapiga kimya, yaani sasa hivi Israel inaua hadi makamanda wa Iran pale Syria, wanajichagulia yupi wa kupiga, Iran bado kimya.......imetafutwa kwa kila mbinu. Japo najua itanasa tu sehemu maana mizuka ya kidini huwapofusha na watajikuta wanabwatuka akbar akbar na kufanya ujinga.
Huku gumeli kumegeuza baada ya kukosa cha kufanya pale.
======================
![]()
The American aircraft carrier USS Gerald R. Ford is set to depart the Mediterranean Sea, close to three months since it was deployed to the area in the wake of Hamas's October 7 massacre on Israel and fears of a multi-front war, ABC News reported Sunday night.
The USS Gerald Ford, the latest, largest, and most formidable addition to the US Navy's nuclear carrier fleet, possesses the capability to independently launch strikes on Lebanon, Syria, or Iran.
It is supported by US Air Force refueling planes from the Emirates and sails with a battle group of five destroyers.
![]()
US to withdraw largest aircraft carrier in world from Israel's shores - report
"The United States will still have a lot of military capability in the region and flexibility," ABC quoted a senior US official as saying.www.jpost.com
Wewe punguani kweli kachokizwa vipi wakati anakalia ardhi ya Palestina kwa nguvu halafu, huyo Joshua kauliwa na Israel Baba yake mzazi kasema wazi yule kwenye mitandao siyo mwanae kaenda Israel kujua ukweli.Israel imechokozwa Kwa makusudi kabisa wote tumeona kilichofanywa October 7 na magaidi.
R.I.P Joshua Mollel.
Uharo mtupu.Iran hapa wametumia akili sana kwa kukunja mkia na kunyamaza ndani licha ya kila jitihada kufanywa kuwashika hadi masharubu. Iran ilisema Israel wakiingia Gaza watakua wamevuka mstari, aisei Marekani wakaleta gumeli kama lote na kuweka pale na kusema mwenye kifua ajaribu hata kujikuna, Israel wamepiga pale Gaza, wameingia kote kote na kuvuka kila mstari na kusambaratisha ghasia yote, Iran hakufanya chochote.
Hapa Iran nawapa hongera waliposhtukia mchezo wakapiga kimya, yaani sasa hivi Israel inaua hadi makamanda wa Iran pale Syria, wanajichagulia yupi wa kupiga, Iran bado kimya.......imetafutwa kwa kila mbinu. Japo najua itanasa tu sehemu maana mizuka ya kidini huwapofusha na watajikuta wanabwatuka akbar akbar na kufanya ujinga.
Huku gumeli kumegeuza baada ya kukosa cha kufanya pale.
======================
![]()
The American aircraft carrier USS Gerald R. Ford is set to depart the Mediterranean Sea, close to three months since it was deployed to the area in the wake of Hamas's October 7 massacre on Israel and fears of a multi-front war, ABC News reported Sunday night.
The USS Gerald Ford, the latest, largest, and most formidable addition to the US Navy's nuclear carrier fleet, possesses the capability to independently launch strikes on Lebanon, Syria, or Iran.
It is supported by US Air Force refueling planes from the Emirates and sails with a battle group of five destroyers.
![]()
US to withdraw largest aircraft carrier in world from Israel's shores - report
"The United States will still have a lot of military capability in the region and flexibility," ABC quoted a senior US official as saying.www.jpost.com
Wafuasi wa ala na mikobasi yao gaza wanangamia wao wako bize na fix netanyau anawawaisha tu mazombi pale gaza kifusi tuWatu wa Gaza wakiona unaaandika ushuzi kama huu wakati wao kila siku wanakufa Kwa dozens watakutia madole.
Mbona mlijiamulia pale israwl mliua wanawake na watoto 1400 kwanini hamkuua 200000Hata we tukikupa bunduki na lori kumi za risasi uende ukapige wanawake na watoto utashindwa kweli kuuwa watu 20000 tu ndugu. Tena kwa miezi mitatu
Kaswende ya ubongo hii.
Tanzanians opponents? 😂😂😂God bless America,God bless Israel,God bless only Tanzanians Opponents MUNGU ilaani CCM
Sisiem ni maswahiba wa Hamas.God bless America,God bless Israel,God bless only Tanzanians Opponents MUNGU ilaani CCM