NAWATAFUNA
JF-Expert Member
- Nov 14, 2019
- 13,284
- 24,047
Kwani kura zishaibiwa marangapi na hapakuchimbika shimo?Lissu ni kichwa, hataibiwa kura. Anaposema patachimbika kweli anamaanisha.
Lissu hakukubali pini na hakukubali risasi na hatakubali kuibiwa kura.Kwani kura zishaibiwa marangapi na hapakuchimbika shimo?
Mbona mlipigwa pini kufanya siasa miaka mitano na hapakuchimbika?
Hamasa tu za kwenye mitandao hamna lolote ni ushuzi tu.
Sure. Lissu ana PhD zaidi ya kumi. Hii namba aisee. Asante Mungu kwa kumlinda LissuKama vigezo ni;
1. Presentation skills
2. Contextual factors of understanding
3. Intellectual abilities
4. Material contents
5. Mastering of the stage
6. Diplomacy in approach
7. Democratic opinions
Basi huwezi kamwe kumfananisha JPM na TAl
Sure. Lissu ana PhD zaidi ya kumi. Hii namba aisee. Asante Mungu kwa kumlinda Lissu
Hahaha blaza ule ndio uwezo kweli Uwezo wa kutokujua umeme wa Maji na mwingine upi ni umeme rahisi kabisa duniani? Nadhani Tundu lisu hajui kuwa Kuna Miradi ya umeme wa Jua Kigoma na Same, hajui kuna Mradi wa umeme wa Upepo Singida ambako ni kwao?Pascal acha kuanza kupoteza mjadala wa leo wa Lissu kuwafunika vibaya sana CCM na mgombea wenu. Hoja kuu ya leo ni Lissu alivyoonesha uwezo wake mkubwa kwenye upeo na maono ya kuipeleka hii nchi mbali.
Huu mjadala unaoanzisha hapa kuhamisha hoja kuu ya leo, napenda kukwambia umeshafeli kabla hujaanza. Hakuna hata moja ambalo Lissu amekosea kwenye kujibu kwenye kipindi cha dk 45.
Mpaka sasa keshaibiwa kura ml10.Lissu hakukubali pini na hakukubali risasi na hatakubali kuibiwa kura.
Hahaha blaza ule ndio uwezo kweli Uwezo wa kutokujua umeme wa Maji na mwingine upi ni umeme rahisi kabisa duniani? Nadhani Tundu lisu hajui kuwa Kuna Miradi ya umeme wa Jua Kigoma na Same , hajui kuna Mradi wa umeme wa Upepo Singida ambako ni kwao?....Mgombea anaeongea kuhusu mfuko wa mafuta wa Norway ambao hajui kazi yake ni nini?...Uwiii .Mgombea anayeongelea Universal health care bila kuchambua atafikiaje hiyo universal health care....hahaha VIVA MAGUFULI KANYAGA TWENDE
Hamna unachokijua wewe.Mpaka sasa keshaibiwa kura ml10.