Uzalendo wa Kitanzania
JF-Expert Member
- Mar 8, 2020
- 3,585
- 8,106
Nikajua Lucas MwashambaWadau hamjamboni nyote?
Ndugu zangu huu ndiyo ukweli na lazima uwekwe wazi na msidai kuwa namfanyia kampeni
Mheshimiwa January Makamba ndiye Waziri anayeimudu lugha ya Kiingereza kwa weledi mkubwa
Sikusudii kumlinganisha na wenzake ila lengo ni kumpa sifa anazostahili kulingana na alichojaaliwa na Mungu
Tizama hutuba zake, pitia anachoandika kupitia kurasa zake za kijamii utathibitisha uwezo mkubwa alionao
Sio kwamba hanazo sifa nyingine, anazo tena sana ila leo naona nitaje sifa moja tu!
Hongera sana Mheshimiwa January Yusuf Makamba, matunda ya elimu yako yanaonekana
Wadau hamjamboni nyote?

Amekulipa kiasi gani kuja kumpamba huku?Wadau hamjamboni nyote?
Ndugu zangu huu ndiyo ukweli na lazima uwekwe wazi na msidai kuwa namfanyia kampeni
Mheshimiwa January Makamba ndiye Waziri anayeimudu lugha ya Kiingereza kwa weledi mkubwa
Sikusudii kumlinganisha na wenzake ila lengo ni kumpa sifa anazostahili kulingana na alichojaaliwa na Mungu
Tizama hutuba zake, pitia anachoandika kupitia kurasa zake za kijamii utathibitisha uwezo mkubwa alionao
Sio kwamba hanazo sifa nyingine, anazo tena sana ila leo naona nitaje sifa moja tu!
Hongera sana Mheshimiwa January Yusuf Makamba, matunda ya elimu yako yanaonekana
Sijui nimtukane huyu chawa?Hivi watu wa hii nchi wana matatizo ya kiakili?
Bumbuli inahitaji maisha bora na sio KIINGEREZA chake.Wadau hamjamboni nyote?
Ndugu zangu huu ndiyo ukweli na lazima uwekwe wazi na msidai kuwa namfanyia kampeni
Mheshimiwa January Makamba ndiye Waziri anayeimudu lugha ya Kiingereza kwa weledi mkubwa
Sikusudii kumlinganisha na wenzake ila lengo ni kumpa sifa anazostahili kulingana na alichojaaliwa na Mungu
Tizama hutuba zake, pitia anachoandika kupitia kurasa zake za kijamii utathibitisha uwezo mkubwa alionao
Sio kwamba hanazo sifa nyingine, anazo tena sana ila leo naona nitaje sifa moja tu!
Hongera sana Mheshimiwa January Yusuf Makamba, matunda ya elimu yako yanaonekana
Utapeli ameacha? Anakuibia halafu unasifu kiingereza.Wadau hamjamboni nyote?
Ndugu zangu huu ndiyo ukweli na lazima uwekwe wazi na msidai kuwa namfanyia kampeni
Mheshimiwa January Makamba ndiye Waziri anayeimudu lugha ya Kiingereza kwa weledi mkubwa
Sikusudii kumlinganisha na wenzake ila lengo ni kumpa sifa anazostahili kulingana na alichojaaliwa na Mungu
Tizama hutuba zake, pitia anachoandika kupitia kurasa zake za kijamii utathibitisha uwezo mkubwa alionao
Sio kwamba hanazo sifa nyingine, anazo tena sana ila leo naona nitaje sifa moja tu!
Hongera sana Mheshimiwa January Yusuf Makamba, matunda ya elimu yako yanaonekana
Inawezekana mkuuMnakula lugha yabkiingereza hapo kwenu?
Cc Luka 😂🤣🤣,mzee wa kububujikwa mtagWananchi wana bubujikwa na machozi ya furaha , kingereza chake kimeleta maendeleo makubwa mno.