Pre GE2025 Hongera January Makamba, Waziri mwenye weledi mkubwa sana kuzungumza na kuongea lugha ya Kiingereza

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2020
Posts
3,585
Reaction score
8,106
Wadau hamjamboni nyote?

Ndugu zangu huu ndiyo ukweli na lazima uwekwe wazi na msidai kuwa namfanyia kampeni

Mheshimiwa January Makamba ndiye Waziri anayeimudu lugha ya Kiingereza kwa weledi mkubwa

Sikusudii kumlinganisha na wenzake ila lengo ni kumpa sifa anazostahili kulingana na alichojaaliwa na Mungu

Tizama hutuba zake, pitia anachoandika kupitia kurasa zake za kijamii utathibitisha uwezo mkubwa alionao

Sio kwamba hanazo sifa nyingine, anazo tena sana ila leo naona nitaje sifa moja tu!

Hongera sana Mheshimiwa January Yusuf Makamba, matunda ya elimu yako yanaonekana
 
Nikajua Lucas Mwashamba
 
Unayempamba analaana ya Watanzania ya kujaribu kupinga ujenzi wa Bwawa la JKNHP kwa njia haramu na alipokuwa waziri bado aliendelea kuufisadi ili usikamilike, mara sijui crane hatuna mpaka lutoke nje, mara sijui nini, atajua mwenyewe mara sjui wazuri hawafagi..!

Angalia na wewe usiingie kwenye laana hii kali ya kulaaniwa na Watanzania
 
Wadau hamjamboni nyote?

Ndugu zangu huu ndiyo ukweli na lazima uwekwe wazi na msidai kuwa namfanyia kampeni

Mheshimiwa January Makamba ndiye Waziri anayeimudu lugha ya Kiingereza kwa weledi mkubwa

Sikusudii kumlinganisha na wenzake ila lengo ni kumpa sifa anazostahili kulingana na alichojaaliwa na Mungu

Tizama hutuba zake, pitia anachoandika kupitia kurasa zake za kijamii utathibitisha uwezo mkubwa alionao

Sio kwamba hanazo sifa nyingine, anazo tena sana ila leo naona nitaje sifa moja tu!

Hongera sana Mheshimiwa January Yusuf Makamba, matunda ya elimu yako yanaonekana

Mnakula lugha yabkiingereza hapo kwenu?
 
Amekulipa kiasi gani kuja kumpamba huku?
 
Bumbuli inahitaji maisha bora na sio KIINGEREZA chake.
 
Utapeli ameacha? Anakuibia halafu unasifu kiingereza.
 
Back
Top Bottom