Uzalendo wa Kitanzania
JF-Expert Member
- Mar 8, 2020
- 3,585
- 8,106
- Thread starter
-
- #41
Irrelevant to the topicThread 'January Makamba alishiriki wizi wa Mitihani Galanos na kufutiwa matokeo' January Makamba alishiriki wizi wa Mitihani Galanos na kufutiwa matokeo
Eeh yaani ww kwa akili hizi za kumsifia jamaa, siku akikuomba utampaUmesoma ulichoandika?
tudai unamfanyia kampeni za nini? kamwambie yeye na upara wake ikulu wataishia kuiskia tuWadau hamjamboni nyote?
Ndugu zangu huu ndiyo ukweli na lazima uwekwe wazi na msidai kuwa namfanyia kampeni
Mheshimiwa January Makamba ndiye Waziri anayeimudu lugha ya Kiingereza kwa weledi mkubwa
Sikusudii kumlinganisha na wenzake ila lengo ni kumpa sifa anazostahili kulingana na alichojaaliwa na Mungu
Tizama hutuba zake, pitia anachoandika kupitia kurasa zake za kijamii utathibitisha uwezo mkubwa alionao
Sio kwamba hanazo sifa nyingine, anazo tena sana ila leo naona nitaje sifa moja tu!
Hongera sana Mheshimiwa January Yusuf Makamba, matunda ya elimu yako yanaonekana
Hata hicho kizungu hakijui hata kidogo,huwezi msimamizsha January hata kidogo kwa Polepole kwenye kupanga hoja na kuzungumza hicho kizunguSawa kizungu anakijua, vp utendaji kazi wake...matunda gani aliyokwishafanikisha ambayo ni alama mpaka kufikia sasa hv?!.
Na kama kizungu ni kigezo cha uongozi bora(kwa vigezo vyako) basi mawaziri zaidi ya 50% wasingekuwa hapo walipo leo...Jiwe mwenyewe wala asingekuwa Rais!
Nini tofauti ya kuongea na kuzungumza?Ndiyo huyo aliye Waziri mambo ya nje
Huyu ni Makamba mwenyewe unajipigia debe! Hatuwezi kuwa na rais wa hovyo hivyo!Laana alianza kuichuma kule kwao alipolazimisha kupita bila kupingwa ilhali wapinzani walifanyiwa figisu.
Hakuishia hapo. Kuna kipindi alimwambia Samia kwamba anahitaji trilioni tatu ku revive TANESCO. Samia alimshangaa na kumuuliza, trilioni unaijua?
Sasa hivi amekuja na mpango wa kitoto ambao sijawahi kuona hapa duniani. Eti akajenge magorofa yakupangisha nje ya nchi. As if Arusha, TANGA, Dar ,Dodoma na Bumbuli kumejitosheleza nyumba za kupanga.
Bumbuli hakuna gorofa ukiondoa Yale ya hospitali ya mkoloni, halafu MTU anataka akajenge Kinshasa. Guys, there is something very wrong here. Hivi anatuonaje sisi watanzania ambao tuli fanya mtihani wa fomfoo na kuupasua bila nyenzo?
Tumeshatoka huko Kiingereza tumewaachia akina junior kindergarden watu tunapiga kifaransa,kichina na kiarabuWadau hamjamboni nyote?
Ndugu zangu huu ndiyo ukweli na lazima uwekwe wazi na msidai kuwa namfanyia kampeni
Mheshimiwa January Makamba ndiye Waziri anayeimudu lugha ya Kiingereza kwa weledi mkubwa
Sikusudii kumlinganisha na wenzake ila lengo ni kumpa sifa anazostahili kulingana na alichojaaliwa na Mungu
Tizama hutuba zake, pitia anachoandika kupitia kurasa zake za kijamii utathibitisha uwezo mkubwa alionao
Sio kwamba hanazo sifa nyingine, anazo tena sana ila leo naona nitaje sifa moja tu!
Hongera sana Mheshimiwa January Yusuf Makamba, matunda ya elimu yako yanaonekana
Ushenzi Nyerere aliotuachia, leo kuongea Kiingereza ndo elimu, mjinga wewe, nenda Kenya, ongea unayoisifia huko nisawa na mtoto wa darasa la kwanza...Wadau hamjamboni nyote?
Ndugu zangu huu ndiyo ukweli na lazima uwekwe wazi na msidai kuwa namfanyia kampeni
Mheshimiwa January Makamba ndiye Waziri anayeimudu lugha ya Kiingereza kwa weledi mkubwa
Sikusudii kumlinganisha na wenzake ila lengo ni kumpa sifa anazostahili kulingana na alichojaaliwa na Mungu
Tizama hutuba zake, pitia anachoandika kupitia kurasa zake za kijamii utathibitisha uwezo mkubwa alionao
Sio kwamba hanazo sifa nyingine, anazo tena sana ila leo naona nitaje sifa moja tu!
Hongera sana Mheshimiwa January Yusuf Makamba, matunda ya elimu yako yanaonekana
Umeandika Nini Sasa?!Eeh yaani ww kwa akili hizi za kumsifia jamaa, siku akikuomba utampa
Tanzania hata walevi wakilewa huongea Kiingereza. Kwa hiyo English language is not a big deal.Wadau hamjamboni nyote?
Ndugu zangu huu ndiyo ukweli na lazima uwekwe wazi na msidai kuwa namfanyia kampeni
Mheshimiwa January Makamba ndiye Waziri anayeimudu lugha ya Kiingereza kwa weledi mkubwa
Sikusudii kumlinganisha na wenzake ila lengo ni kumpa sifa anazostahili kulingana na alichojaaliwa na Mungu
Tizama hutuba zake, pitia anachoandika kupitia kurasa zake za kijamii utathibitisha uwezo mkubwa alionao
Sio kwamba hanazo sifa nyingine, anazo tena sana ila leo naona nitaje sifa moja tu!
Hongera sana Mheshimiwa January Yusuf Makamba, matunda ya elimu yako yanaonekana
Acha utumwa ipende lugha yako mkuu ! Kujuwa kiingereza hata wanao wanaongea hiyo siyo lugha ya kumsifia mtu Zaidi ya utumwaWadau hamjamboni nyote?
Ndugu zangu huu ndiyo ukweli na lazima uwekwe wazi na msidai kuwa namfanyia kampeni
Mheshimiwa January Makamba ndiye Waziri anayeimudu lugha ya Kiingereza kwa weledi mkubwa
Sikusudii kumlinganisha na wenzake ila lengo ni kumpa sifa anazostahili kulingana na alichojaaliwa na Mungu
Tizama hutuba zake, pitia anachoandika kupitia kurasa zake za kijamii utathibitisha uwezo mkubwa alionao
Sio kwamba hanazo sifa nyingine, anazo tena sana ila leo naona nitaje sifa moja tu!
Hongera sana Mheshimiwa January Yusuf Makamba, matunda ya elimu yako yanaonekana
Kwenda kule wewe kujua kingereza huku mtu mpigaji mkubwa ndio itatusaidia nini. Mtu mwenyewe kiitikadi ni kusujudia wazungu na kuwaamini kila aina ya hadaa zao na pia uwezo na maarifa hana. Peleka huko ujinga wako. Wananchi wanataka mtu mwenye ujasiri mzalendo mwenye maono. Umma wa wananchi wanataka kiongozi mtu ndani ya moyo ni mpenda haki na usawa.Wadau hamjamboni nyote?
Ndugu zangu huu ndiyo ukweli na lazima uwekwe wazi na msidai kuwa namfanyia kampeni
Mheshimiwa January Makamba ndiye Waziri anayeimudu lugha ya Kiingereza kwa weledi mkubwa
Sikusudii kumlinganisha na wenzake ila lengo ni kumpa sifa anazostahili kulingana na alichojaaliwa na Mungu
Tizama hutuba zake, pitia anachoandika kupitia kurasa zake za kijamii utathibitisha uwezo mkubwa alionao
Sio kwamba hanazo sifa nyingine, anazo tena sana ila leo naona nitaje sifa moja tu!
Hongera sana Mheshimiwa January Yusuf Makamba, matunda ya elimu yako yanaonekana
Make it relevant..Irrelevant to the topic
Wadau hamjamboni nyote?
Ndugu zangu huu ndiyo ukweli na lazima uwekwe wazi na msidai kuwa namfanyia kampeni
Mheshimiwa January Makamba ndiye Waziri anayeimudu lugha ya Kiingereza kwa weledi mkubwa
Sikusudii kumlinganisha na wenzake ila lengo ni kumpa sifa anazostahili kulingana na alichojaaliwa na Mungu
Tizama hutuba zake, pitia anachoandika kupitia kurasa zake za kijamii utathibitisha uwezo mkubwa alionao
Sio kwamba hanazo sifa nyingine, anazo tena sana ila leo naona nitaje sifa moja
Hongera sana Mheshimiwa January Yusuf Makamba, matunda ya elimu yako yanaonekana
Inamuondolea credibility,ni mhuni tuIrrelevant to the topic
Hivi majuzi Rais Yoweri Kaguta Museveni wa Uganda, Alisema baadhi ya matatizo yanayokwamisha maendeleo ya Afrika ni kuwa na "neocolonial civil servants ". Na Mimi kwa mlengo huo huo nasema kuwa Kuna Kila dalili Hata hapa jukwaani tunao baadhi yetu ni "neocolonial JF members".....anayeimudu lugha ya Kiingereza kwa weledi mkubwa