Laana alianza kuichuma kule kwao alipolazimisha kupita bila kupingwa ilhali wapinzani walifanyiwa figisu.
Hakuishia hapo. Kuna kipindi alimwambia Samia kwamba anahitaji trilioni tatu ku revive TANESCO. Samia alimshangaa na kumuuliza, trilioni unaijua?
Sasa hivi amekuja na mpango wa kitoto ambao sijawahi kuona hapa duniani. Eti akajenge magorofa yakupangisha nje ya nchi. As if Arusha, TANGA, Dar ,Dodoma na Bumbuli kumejitosheleza nyumba za kupanga.
Bumbuli hakuna gorofa ukiondoa Yale ya hospitali ya mkoloni, halafu MTU anataka akajenge Kinshasa. Guys, there is something very wrong here. Hivi anatuonaje sisi watanzania ambao tuli fanya mtihani wa fomfoo na kuupasua bila nyenzo?