Pre GE2025 Hongera January Makamba, Waziri mwenye weledi mkubwa sana kuzungumza na kuongea lugha ya Kiingereza

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Nenda Bumbuli , lushoto ukaone jimbo lake kuna vumbi kama kigoma kwa vile hamna barabara , maji ni shida .

Tate Mkuu
Hilo jimbo lote likipigwa lami, na majimbi mengine yakiachwa; mtwasema tena lami imepelekwa Bumbuli kwa Waziri, huku yale majimbo mengine yenye utajiri wa malighafi ya chakula na misitu kama Mufindi na Mlimba yakitelekezwa!!
 
Tanzania bado sana! Yaani ati Kiongozi anasifiwa kwa kuongea Kiingereza vizuri? Wakati huohuo Rais George Walker Bush wa Marekani alikuwa analaumiwa kwa kutoongea na kutamka maneno ya Kiingereza vizuri!! Tanzania bado sana!
 
Turudi hapa tena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…