Accumen Mo
JF-Expert Member
- May 15, 2022
- 18,036
- 39,882
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hilo jimbo lote likipigwa lami, na majimbi mengine yakiachwa; mtwasema tena lami imepelekwa Bumbuli kwa Waziri, huku yale majimbo mengine yenye utajiri wa malighafi ya chakula na misitu kama Mufindi na Mlimba yakitelekezwa!!Nenda Bumbuli , lushoto ukaone jimbo lake kuna vumbi kama kigoma kwa vile hamna barabara , maji ni shida .
Tate Mkuu
Tanzania bado sana! Yaani ati Kiongozi anasifiwa kwa kuongea Kiingereza vizuri? Wakati huohuo Rais George Walker Bush wa Marekani alikuwa analaumiwa kwa kutoongea na kutamka maneno ya Kiingereza vizuri!! Tanzania bado sana!Wadau hamjamboni nyote?
Ndugu zangu huu ndiyo ukweli na lazima uwekwe wazi na msidai kuwa namfanyia kampeni
Mheshimiwa January Makamba ndiye Waziri anayeimudu lugha ya Kiingereza kwa weledi mkubwa
Sikusudii kumlinganisha na wenzake ila lengo ni kumpa sifa anazostahili kulingana na alichojaaliwa na Mungu
Tizama hutuba zake, pitia anachoandika kupitia kurasa zake za kijamii utathibitisha uwezo mkubwa alionao
Sio kwamba hanazo sifa nyingine, anazo tena sana ila leo naona nitaje sifa moja tu!
Hongera sana Mheshimiwa January Yusuf Makamba, matunda ya elimu yako yanaonekana
Turudi hapa tenaTanzania hata walevi wakilewa huongea Kiingereza. Kwa hiyo English language is not a big deal.
Ila Januari hana management skills ni FAILURE. Kama angeendelea kuwa Waziri wa NISHATI naamini TANESCO wangekuwa wanaendelea na mgawo.
Uteuzi wa Dotto Biteko umeonyesha ni NAMNA gani Januari Makamba yuko overrated na chawa wake. Otherwise ni kiazi mbatata, bila msaada wa kusukumwa na JK anabaki ni Msambaa wa kawaida kama Wassmbaa wengine wa Mlalo, Soni na Bumbuli