Hongera Jeshi letu na Wanamaji (Navy), haya maonyesho ya manowari ni wazi mko vizuri

Zungumzia hivyo vifaa kwanza, onyesheni

1)Ballistic Missile
2)Surface to air Missiles
3)Mobile radar
4)Amphibious tanks
5)Heavy Tanks
6)Light tanks
7)Fighter jets

Mziki mnene sana huu. Tunaweza kuikamata Nairobi within one week.
Mna heavy tanks zipi ?ama type 59 ndo unaita heavy tank wacheni ujinga 🤣🤣 hizo tank zenu ata MD 500 imetosha kumaliza your entire tank battalion.
 
Wameshakubali, wapumzishe kidogo. Wamebaki kupiga domo tupu. Sasa kama nchi haina surface to air missiles, wataweza kuzuia ndege zetu kushambulia kambi za majeshi yao na kuharibu MAGARI na tanks vinavyotembea ardhini?
Nani kakudanganya hivo ?
 
Mna heavy tanks zipi ?ama type 59 ndo unaita heavy tank wacheni ujinga [emoji1787][emoji1787] hizo tank zenu ata MD 500 imetosha kumaliza your entire tank battalion.
Onyesheni zenu basi, Hahahaha, Hahahaha, Hahahaha.
 
Sasa hawa wakiwa ardhini tutakua tunawashambulia kutokea angani, watafanya nini cha ziada. Ukweli ni kwamba, TPDF inaweza kushinda KDF kwa kutumia fighter jets na Ballistic missile pekee, bila hata kutia miguu ktk ardhi ya Kenya.
 
Njia pekee ya kupima nguvu za jeshi ni kupitia vita walivyoshiriki na kuvishinda, ukichukua rekodi za KDF vs TPDF, utajua kwa hakika jeshi imara ni lipi.

Vv
Hawajawahi kupigana vita hata moja, vita ya kwanza ni hii ya Alshabaab, matokeo yake wanauliwa kama wadudu.
 
Sasa hawa wakiwa ardhini tutakua tunawashambulia kutokea angani, watafanya nini cha ziada. Ukweli ni kwamba, TPDF inaweza kushinda KDF kwa kutumia fighter jets na Ballistic missile pekee, bila hata kutia miguu ktk ardhi ya Kenya.
Remember Tz only have 30 aircraft while Kenya has 209. Who's is more stronger on air?
 
Sasa hawa wakiwa ardhini tutakua tunawashambulia kutokea angani, watafanya nini cha ziada. Ukweli ni kwamba, TPDF inaweza kushinda KDF kwa kutumia fighter jets na Ballistic missile pekee, bila hata kutia miguu ktk ardhi ya Kenya.
Seat back and relax.
Kenya is seven times stronger than Tanzania on air
 
Have they wiped Alshaabab in Somalia? If no why boasting? TPDF wiped M23 and their alies in DRC hadi mkuu wao akaenda kujisalimisha kwa bwana wake Kagame huko Rwanda, TPDF waliwafanyia kitu mbaya RENAMO huko Mozambique hadi wakasalimu amri.

Ni Tanzania pekee ambayo makaburu enzi zile hawakuweza kuvuka na kuingia katika ukanda wote wa Kusini mwa Afrika pamoja na makaburu kujua kuwa kambi za wapiganaji wa ANC, SACP na SWAPO. Hata Wareno walijpokuwa wanatawala Mozambique. FRELIMO
walipokuwa wakipambana na wapigania uhuru, Wareno walipokuwa wakiwafurusha, jeshi la FRELIMO lilikuwa linakimbilia Tanzania, Wareno walikuwa wanaishia mto Ruvuma na kurudi Msumbiji.

Vv
Don't joke, KDF in action huko Somalia View attachment 1244113
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…