Geza Ulole
JF-Expert Member
- Oct 31, 2009
- 65,136
- 91,917
Ingekua si Kenya Navy wale Pirates wa Somalia wangekua wanatawala hadi Mozambique sahii
Kua na gari zuri la gharama uani harafu sikuzote unapanda daladala inamaana gani sasaKwa waliozoea kutazama video za kijeshi za Ulaya, haswa zile aircraft carriers zao na nyambizi (submarines) wanaweza wasione kama kitu chochote cha maana kwenye hii video ya jeshi letu la wanamaji, lakini ukiilinganisha kwenye level ya ukanda huu wote, utaona tuko freshi dhidi ya nyau wote waliotuzunguka.
Kwa hi Eastern seaboard of Africa hatuna mpinzani, lakini beyond that hatuna uwezo wa kutunisha misuli... most of our ships are for defensive purpose, hatuna projecting power beyond our neighbors similarly small navies...Yaani muda wote huu sikujua Navy yetu wako vizuri hivi, sikua nawafuatilia maana kila wakija Nairobi kwenye tamasha zozote huwa hawaji na zana zao. Hapo kwa kweli walitunisha misuli na kuonyesha makucha, vymbo vya uhakika hivyo.
Mzee hufanyi magendo unatoa na risiti kabisa.Mtumba KNS Shujaa kabla ya kupigwa rangi mwaka 1996
Tulimalizana nao kitambo . sikuhizi tunapiga patrol hapo ni valleta Malta.Wamalizane na wasomali kwanza kuziilisha ubora wao...
awesome stuff..Tulimalizana nao kitambo . sikuhizi tunapiga patrol hapo ni valleta Malta.
View attachment 1239907
Hahahaha, meli zenu zote ni chakavu, MV Jasiri ni kubwa lakini imechakaa sana, haina vifaa vya kisasa vya kivita, MV shupavu ni ndogo sana na ni " very old, can't cope with modern military arsenals".awesome stuff..
Now we need some extra muscles ...we should get some battle cruisers..some German submarines ...and a helicopter carrier.
Akijibu hili nitagWasomali masikini wana wasumbua... Mkipambana na matajiri TZ ita kuwaje?
Uganda nae na Alhaj IDD walikuja hivyo hivyo tuna zana za kisasa, wakazani zana pekee ndizo zina pigana...
Let mpya za Tanzania Kaka badala ya kufyatua mdomo Kama samakiHahahaha, meli zenu zote ni chakavu, MV Jasiri ni kubwa lakini imechakaa sana, haina vifaa vya kisasa vya kivita, MV shupavu ni ndogo sana na ni " very old, can't cope with modern military arsenals".
Kwa hi Eastern seaboard of Africa hatuna mpinzani, lakini beyond that hatuna uwezo wa kutunisha misuli... most of our ships are for defensive purpose, hatuna projecting power beyond our neighbors similarly small navies...
Tunahitaji meli zilizo na anti submarine counter-measures, ship-to-ship missiles, ship-to-shore missiles zenye range kubwa kabisa, yani unasimamisha meli nyuma ya Sychelles kule baharini na unarusha hadi DRC na unarusha hit target...
Ukiangalia Navy ya Algeria au Egypt hapo ndo utajua jamaa si wa kuchezewa... SA nap wako ligi hip lakini angalau zao ni za kutambo na zimechoka kidogo.. hao SA wako na submarine tatu
Let's wait and see if this will scare off your north eastern neighbourOmbeni mechi tuone nani kenge baina yetu, hivi Tanzania mna jeshi la wanamaji kweli? Au meli za kivita hata moja.
Najua mnao wale wapasua matofali wa maonyesho, ila pia nakumbuka kuna kipindi mlifanya maonyesho ya kulipua minazi kwenye fukwe...hehehe
Sensible people are investing heavily in economical activities not in military, sisi hatuna haja wala sababu ya kupigana na nyie, mkileta chochoko tutawaita Arusha tukae mezani na kuyamaliza.Asante, hiyo poa tutafika huko ila cha msingi ni kujua kwa hawa waliotuzunguka hakuna wa kutututisha, kawaida huwa unaanza kujihami dhidi ya walio karibu nawe, baada ya hapo ndio unawaza kuhusu wale wa mbali.
Kwa waliozoea kutazama video za kijeshi za Ulaya, haswa zile aircraft carriers zao na nyambizi (submarines) wanaweza wasione kama kitu chochote cha maana kwenye hii video ya jeshi letu la wanamaji, lakini ukiilinganisha kwenye level ya ukanda huu wote, utaona tuko freshi dhidi ya nyau wote waliotuzunguka.
Kaka jaribu kujitahidi kufuatilia mambo kwa undani, Kikwete alinunua meli mbili kubwa za kisasa, moja ilipewa jina la MV. Mwintogo, na nyingine MV.Msoga, tulizipokea 2012, ndio hizo unazoziona katika hizo video.Let mpya za Tanzania Kaka badala ya kufyatua mdomo Kama samaki
Let mpya za Tanzania Kaka badala ya kufyatua mdomo Kama samaki
Picha iko wapi Kaka?Kaka jaribu kujitahidi kufuatilia mambo kwa undani, Kikwete alinunua meli mbili kubwa za kisasa, moja ilipewa jina la MV. Mwintogo, na nyingine MV.Msoga, tulizipokea 2012, ndio hizo unazoziona katika hizo video.
Tulizipokea pamoja na hizo Amphibious tanks, na ndege za kivita J-7, pamoja na vifaa vingine Vingi vya kisasa, ikiwemo hizo " ballistic missiles ".
Mwaka Jana ndio tukafungua chuo cha kisasa cha mafunzo ya kutumia hivyo vifaa chini ya wachina. Katika jeshi tupo vizuri sana, hakuna wa kutuchezea ukiachana na Egypt na South Africa.
Chinese-built military training centre opens in Tanzania - defenceWeb
Tanzanian President John Magafuli has opened a Chinese-built training centre for the Tanzania People’s Defence Forces (TPDF). The Comprehensive Training Centre (CTC) was officially opened during a ceremony on 6 February at Mapinga in Bagamoyo District, Coast Region. It was attended by Chinese...www.defenceweb.co.za