Hongera Jeshi letu na Wanamaji (Navy), haya maonyesho ya manowari ni wazi mko vizuri

Mtumba KNS Shujaa kabla ya kupigwa rangi mwaka 1996
kenyan_patrol_boat_kns_shujaa__p3130__1997__by_roodbaard1958-das0x8z.jpg

Hapa baada ya kupigwa rangi na kuuzwa kwa KDF at a cost of $52 mln. Notice the Kenyan flag and emblem!
2866643.jpg

Ingekua si Kenya Navy wale Pirates wa Somalia wangekua wanatawala hadi Mozambique sahii

Yaani muda wote huu sikujua Navy yetu wako vizuri hivi, sikua nawafuatilia maana kila wakija Nairobi kwenye tamasha zozote huwa hawaji na zana zao. Hapo kwa kweli walitunisha misuli na kuonyesha makucha, vymbo vya uhakika hivyo.
 
Kwa waliozoea kutazama video za kijeshi za Ulaya, haswa zile aircraft carriers zao na nyambizi (submarines) wanaweza wasione kama kitu chochote cha maana kwenye hii video ya jeshi letu la wanamaji, lakini ukiilinganisha kwenye level ya ukanda huu wote, utaona tuko freshi dhidi ya nyau wote waliotuzunguka.

Kua na gari zuri la gharama uani harafu sikuzote unapanda daladala inamaana gani sasa
 
Yaani muda wote huu sikujua Navy yetu wako vizuri hivi, sikua nawafuatilia maana kila wakija Nairobi kwenye tamasha zozote huwa hawaji na zana zao. Hapo kwa kweli walitunisha misuli na kuonyesha makucha, vymbo vya uhakika hivyo.
Kwa hi Eastern seaboard of Africa hatuna mpinzani, lakini beyond that hatuna uwezo wa kutunisha misuli... most of our ships are for defensive purpose, hatuna projecting power beyond our neighbors similarly small navies...
Tunahitaji meli zilizo na anti submarine counter-measures, ship-to-ship missiles, ship-to-shore missiles zenye range kubwa kabisa, yani unasimamisha meli nyuma ya Sychelles kule baharini na unarusha hadi DRC na unarusha hit target...

Ukiangalia Navy ya Algeria au Egypt hapo ndo utajua jamaa si wa kuchezewa... SA nap wako ligi hip lakini angalau zao ni za kutambo na zimechoka kidogo.. hao SA wako na submarine tatu
 
awesome stuff..
Now we need some extra muscles ...we should get some battle cruisers..some German submarines ...and a helicopter carrier.
Hahahaha, meli zenu zote ni chakavu, MV Jasiri ni kubwa lakini imechakaa sana, haina vifaa vya kisasa vya kivita, MV shupavu ni ndogo sana na ni " very old, can't cope with modern military arsenals".
 
Wasomali masikini wana wasumbua... Mkipambana na matajiri TZ ita kuwaje?

Uganda nae na Alhaj IDD walikuja hivyo hivyo tuna zana za kisasa, wakazani zana pekee ndizo zina pigana...
Akijibu hili nitag
 
Hahahaha, meli zenu zote ni chakavu, MV Jasiri ni kubwa lakini imechakaa sana, haina vifaa vya kisasa vya kivita, MV shupavu ni ndogo sana na ni " very old, can't cope with modern military arsenals".
Let mpya za Tanzania Kaka badala ya kufyatua mdomo Kama samaki
 
Kwa hi Eastern seaboard of Africa hatuna mpinzani, lakini beyond that hatuna uwezo wa kutunisha misuli... most of our ships are for defensive purpose, hatuna projecting power beyond our neighbors similarly small navies...
Tunahitaji meli zilizo na anti submarine counter-measures, ship-to-ship missiles, ship-to-shore missiles zenye range kubwa kabisa, yani unasimamisha meli nyuma ya Sychelles kule baharini na unarusha hadi DRC na unarusha hit target...

Ukiangalia Navy ya Algeria au Egypt hapo ndo utajua jamaa si wa kuchezewa... SA nap wako ligi hip lakini angalau zao ni za kutambo na zimechoka kidogo.. hao SA wako na submarine tatu

Asante, hiyo poa tutafika huko ila cha msingi ni kujua kwa hawa waliotuzunguka hakuna wa kutututisha, kawaida huwa unaanza kujihami dhidi ya walio karibu nawe, baada ya hapo ndio unawaza kuhusu wale wa mbali.
 
Ombeni mechi tuone nani kenge baina yetu, hivi Tanzania mna jeshi la wanamaji kweli? Au meli za kivita hata moja.
Najua mnao wale wapasua matofali wa maonyesho, ila pia nakumbuka kuna kipindi mlifanya maonyesho ya kulipua minazi kwenye fukwe...hehehe
Let's wait and see if this will scare off your north eastern neighbour
 
Asante, hiyo poa tutafika huko ila cha msingi ni kujua kwa hawa waliotuzunguka hakuna wa kutututisha, kawaida huwa unaanza kujihami dhidi ya walio karibu nawe, baada ya hapo ndio unawaza kuhusu wale wa mbali.
Sensible people are investing heavily in economical activities not in military, sisi hatuna haja wala sababu ya kupigana na nyie, mkileta chochoko tutawaita Arusha tukae mezani na kuyamaliza.
Wakenya mna vituko, unajisifia na hizo smoking scraps na hayo outdated-mapangaboi?
 
Kwenye swala la jeshi Tanzania hatuna mpinzani hata kwenye upande wa navy,kila siku navy wa nchi nyingine huja Tanzania kwa ziara na sio rahisi kujua Tanzania tuna meli za aina gani kwa watu wa kawaida ndo maana na utajiri wote Tanzania hakuna nchi inayoichokoza au kuingilia Tz na baharini tuna gesi na mafuta.
 
Kwa waliozoea kutazama video za kijeshi za Ulaya, haswa zile aircraft carriers zao na nyambizi (submarines) wanaweza wasione kama kitu chochote cha maana kwenye hii video ya jeshi letu la wanamaji, lakini ukiilinganisha kwenye level ya ukanda huu wote, utaona tuko freshi dhidi ya nyau wote waliotuzunguka.

kwani lazima utaje neno 'NYAU" wewe kenge!
 
Let mpya za Tanzania Kaka badala ya kufyatua mdomo Kama samaki
Kaka jaribu kujitahidi kufuatilia mambo kwa undani, Kikwete alinunua meli mbili kubwa za kisasa, moja ilipewa jina la MV. Mwintogo, na nyingine MV.Msoga, tulizipokea 2012, ndio hizo unazoziona katika hizo video.

Tulizipokea pamoja na hizo Amphibious tanks, na ndege za kivita J-7, pamoja na vifaa vingine Vingi vya kisasa, ikiwemo hizo " ballistic missiles ".

Mwaka Jana ndio tukafungua chuo cha kisasa cha mafunzo ya kutumia hivyo vifaa chini ya wachina. Katika jeshi tupo vizuri sana, hakuna wa kutuchezea ukiachana na Egypt na South Africa.
 
Picha iko wapi Kaka?
 
Back
Top Bottom