Hongera Jeshi letu na Wanamaji (Navy), haya maonyesho ya manowari ni wazi mko vizuri

Acha kujiamini sana
 
Acha kujiamini sana
Ni kweli kaka, Kikwete alitumia pesa nyingi sana kulikarabati jeshi letu, ilifika wakati akakutana na upinzani ndani ya CCM wakidai anapiteza pesa nyingi jeshini kuliko katika Afya, ndipo alipolazimika kuanzia "Jakaya Kikwete Cardiac Institute" pale Muhimbili. Katika Jeshi tupo vizuri sana kupita Maelezo.
 
Wacha kuota. South Africa wana sub-marine. Nyinyi hamna. Ligi yenu Uganda.
 
Wasomali masikini wana wasumbua... Mkipambana na matajiri TZ ita kuwaje?

Uganda nae na Alhaj IDD walikuja hivyo hivyo tuna zana za kisasa, wakazani zana pekee ndizo zina pigana...
Kama TZ ni matajiri basi mimi ni meza
 
Na hivyo vijahazi unavyoviita meli vita tulikuwa navyo muda mrefu sana toka enzi za baba wa taifa nyie kununua kelele kibao,waswahili hatuwalaumu tunajua miraa ya kula jua likiwa utosini ina tabu yake.
 
hahaa, we jamaa
 
Al shabbab hawana ata majahazi wanawashuhulisha, wanatumia toyota za kuazimwa wanakuteseni, gari imezama kwenye mita mbili mmechukua zaidi ya wiki kuitoa. Mnajisia ujinga tu. Wastegate inatosha kuwajua KDF.
 
Ombeni mechi tuone nani kenge baina yetu, hivi Tanzania mna jeshi la wanamaji kweli? Au meli za kivita hata moja.
Najua mnao wale wapasua matofali wa maonyesho, ila pia nakumbuka kuna kipindi mlifanya maonyesho ya kulipua minazi kwenye fukwe...hehehe
Umejibu kitahaira sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…