Hongera Jeshi letu na Wanamaji (Navy), haya maonyesho ya manowari ni wazi mko vizuri

Hongera Jeshi letu na Wanamaji (Navy), haya maonyesho ya manowari ni wazi mko vizuri

Kwenye swala la jeshi Tanzania hatuna mpinzani hata kwenye upande wa navy,kila siku navy wa nchi nyingine huja Tanzania kwa ziara na sio rahisi kujua Tanzania tuna meli za aina gani kwa watu wa kawaida ndo maana na utajiri wote Tanzania hakuna nchi inayoichokoza au kuingilia Tz na baharini tuna gesi na mafuta.
Acha kujiamini sana
 
Acha kujiamini sana
Ni kweli kaka, Kikwete alitumia pesa nyingi sana kulikarabati jeshi letu, ilifika wakati akakutana na upinzani ndani ya CCM wakidai anapiteza pesa nyingi jeshini kuliko katika Afya, ndipo alipolazimika kuanzia "Jakaya Kikwete Cardiac Institute" pale Muhimbili. Katika Jeshi tupo vizuri sana kupita Maelezo.
 
Hahahaha, kwenye jeshi huko msiguse kabisa, tuendelee kubishana katika maeneo mengine sio jeshi.

Tanzania ni nchi pekee hapa Afrika yenye jeshi lenye nguvu sana baharini, hata kuizidi South Afrika. Tanzania tuna meli kubwa mbili za kisasa sana, mpya toka china, tulizinunua 2014.

Tanzania tunazo meli tatu mpya za kisasa zenye uwezo wa kubeba vifaru vinavyoweza kuogelea na kutembea ardhi ni (Amphibious tanks), ni nchi pekee hapa Afrika yenye vifaru hivyo.

Tazameni show hapa;

Wacha kuota. South Africa wana sub-marine. Nyinyi hamna. Ligi yenu Uganda.
 
Wasomali masikini wana wasumbua... Mkipambana na matajiri TZ ita kuwaje?

Uganda nae na Alhaj IDD walikuja hivyo hivyo tuna zana za kisasa, wakazani zana pekee ndizo zina pigana...
Kama TZ ni matajiri basi mimi ni meza
 
Kwa waliozoea kutazama video za kijeshi za Ulaya, haswa zile aircraft carriers zao na nyambizi (submarines) wanaweza wasione kama kitu chochote cha maana kwenye hii video ya jeshi letu la wanamaji, lakini ukiilinganisha kwenye level ya ukanda huu wote, utaona tuko freshi dhidi ya nyau wote waliotuzunguka.


Na hivyo vijahazi unavyoviita meli vita tulikuwa navyo muda mrefu sana toka enzi za baba wa taifa nyie kununua kelele kibao,waswahili hatuwalaumu tunajua miraa ya kula jua likiwa utosini ina tabu yake.
 
Kenya navy are the guardians of the Eastern sea board sijui Kwanini mnatokwa na povu.
fg110108027.jpg
 
Hahahaha, kwenye jeshi huko msiguse kabisa, tuendelee kubishana katika maeneo mengine sio jeshi.

Tanzania ni nchi pekee hapa Afrika yenye jeshi lenye nguvu sana baharini, hata kuizidi South Afrika. Tanzania tuna meli kubwa mbili za kisasa sana, mpya toka china, tulizinunua 2014.

Tanzania tunazo meli tatu mpya za kisasa zenye uwezo wa kubeba vifaru vinavyoweza kuogelea na kutembea ardhi ni (Amphibious tanks), ni nchi pekee hapa Afrika yenye vifaru hivyo.

Tazameni show hapa;
hahaa, we jamaa
 
Jibu nimelipata kumbe hamuna meli za kivita, ila mnazo mbili za doria za kuwafukuzia wezi wa samaki kwenye eneo lenu la bahari, hizi mbili zilizinduliwa na rais Kikwete. Hivyo hamna haja ya kuomba mechi maana tutakua tunapigana wenyewe kwenye uwanja wa mapambano, ni kama timu moja iingie kwenye uwanja wa mpira na kucheza dhidi yake yenyewe.

Kweli Kenya kiboko, kuna baadhi ya haya mambo wengi hatuyajui, hadi ufuatiie ndio ujue uwezo tulionao dhidi ya nyau na kenge wote.

Al shabbab hawana ata majahazi wanawashuhulisha, wanatumia toyota za kuazimwa wanakuteseni, gari imezama kwenye mita mbili mmechukua zaidi ya wiki kuitoa. Mnajisia ujinga tu. Wastegate inatosha kuwajua KDF.
 
Ombeni mechi tuone nani kenge baina yetu, hivi Tanzania mna jeshi la wanamaji kweli? Au meli za kivita hata moja.
Najua mnao wale wapasua matofali wa maonyesho, ila pia nakumbuka kuna kipindi mlifanya maonyesho ya kulipua minazi kwenye fukwe...hehehe
Umejibu kitahaira sana
 
Back
Top Bottom