Hongera Jeshi letu na Wanamaji (Navy), haya maonyesho ya manowari ni wazi mko vizuri

Hongera Jeshi letu na Wanamaji (Navy), haya maonyesho ya manowari ni wazi mko vizuri

Boss KAF wakona some F16 that dont get talked about, each pilot was trained at a cost if kes.50m
Bado uko off topic! Lakini acha nikuelimishe kidogo ndugu... Ndege za kivita huwa hazinunuliwi Kama mandazi kwa duka,unapaswa kufanya lobbying ambayo yaweza chukua muda mrefu. Kenya Sasa ivi inapanga kununua ndege Kati ya SAAB Gripen ama F16/ F14 tomcat.

Anyway, Tz mna jet za Aina gani ambazo ni hatari kuliko za Kenya?
 
Boss KAF wakona some F16 that dont get talked about, each pilot was trained at a cost if kes.50m
Overheard we've got four F-16 interceptors and other normal f16 jets which remains undisclosed to the public.
 
Tz sasa wako na uwezo???
Tanzania iko na uwezo kupita Kenya, ndio sababu tumenunua
1)Meli mpya kubwa zaidi ya MV Jasiri 2
2)Ndege mpya za kisasa (3rd Generation) 14. Kenya mpo na ndege 5 pekee(2nd Generation) very very old.
 
Boss KAF wakona some F16 that dont get talked about, each pilot was trained at a cost if kes.50m
Hahahaha, mkinunua F-16 hata moja tu, nijulisheni, nitoke kabisa hapa JF, itakua ndio mwisho wangu Mimi kuwa hapa JF.
Hakuna nchi hata moja hapa Africa yenye kumiliki F-16, hata Egypt haina F-16. Hahahaha, Hahahaha, endeleeni kuota.
 
Overheard we've got four F-16 interceptors and other normal f16 jets which remains undisclosed to the public.
Ninyi ni vichaa, weka hapa picha na link inayoonyesha Kenya kuna F-16. Nchi fukara kama Kenya hamuwezi kuwa na F-16 in our generation time.
 
Ombeni mechi tuone nani kenge baina yetu, hivi Tanzania mna jeshi la wanamaji kweli? Au meli za kivita hata moja.
Najua mnao wale wapasua matofali wa maonyesho, ila pia nakumbuka kuna kipindi mlifanya maonyesho ya kulipua minazi kwenye fukwe...hehehe
Alshabab wamewatoa kamasi JW habari ingine! Sikia tu magazetini na TV
 
Tanzania iko na uwezo kupita Kenya, ndio sababu tumenunua
1)Meli mpya kubwa zaidi ya MV Jasiri 2
2)Ndege mpya za kisasa (3rd Generation) 14. Kenya mpo na ndege 5 pekee(2nd Generation) very very old.
haha while your biggest is 63 m kns Nyayo is 60meters jasiri iko ligi nyingine standing 85meters
 
Hahahaha, mkinunua F-16 hata moja tu, nijulisheni, nitoke kabisa hapa JF, itakua ndio mwisho wangu Mimi kuwa hapa JF.
Hakuna nchi hata moja hapa Africa yenye kumiliki F-16, hata Egypt haina F-16. Hahahaha, Hahahaha, endeleeni kuota.
Haha ata Morocco Wana f 16
 
Ombeni mechi tuone nani kenge baina yetu, hivi Tanzania mna jeshi la wanamaji kweli? Au meli za kivita hata moja.
Najua mnao wale wapasua matofali wa maonyesho, ila pia nakumbuka kuna kipindi mlifanya maonyesho ya kulipua minazi kwenye fukwe...hehehe
Acha dharau
 
070323-F-9999Z-002.JPG

have a close look at the back
 
Kenya hapo kuna mjanja mmoja alinunua meli kubwa ya uvivu. Ile inavua samaki na humo humo melini kuna kiwanda cha ku process samaki na kuzipark kwa kuuzwa. Mjanja yule akawakabidhi Coast Guard/navy hiyo meli. Na ikazinduliwa kwa mbwe mbwe zote za kijeshi. Chombo kikazama majini kupiga kazi. Nyang'au wanajua wanalindwa na Navy kumbe wamegeuka wavuvi.
 
Ombeni mechi tuone nani kenge baina yetu, hivi Tanzania mna jeshi la wanamaji kweli? Au meli za kivita hata moja.
Najua mnao wale wapasua matofali wa maonyesho, ila pia nakumbuka kuna kipindi mlifanya maonyesho ya kulipua minazi kwenye fukwe...hehehe
Zama za kubishana kuhusu nani mbabe zilikwishapita. Mnahitaji kuja Tanzania kujifunza uokoaji na pia kujifunza jinsi ya kupambana na Alshabaab. Askari wenu hata ukiwaona wakiwa kwenye doria na zana walizonazo hadi unashangaa, hawa watu wanadhani wanafanya doria ya kukamata vibaka au the warlords? njoo uone doria za JWTZ tunatumia armored fighting vehicles (AFV) . Mnakwenda kupambana na ALshabaabu na AK47 na pickup na trucks, halafu you don't move in formation, you move utadhani msafara wa harusi.

Second kwenye ile manslaughter mliosababisha wa yule mama na mwanae. Ni aibu sana kuona mnakosa preparedness ndogo kiasi kile yaani hadi ile gari inazama several minutes hakukuwa hata na abiria mmoja aliejirusha kwenda kujaribu kuifikia mnapeleka kivuko sijui huyo baharia hajui uzito wa kile kivuko na ukubwa wake unaisukuma ile gari wakati mnazidi kuikaribia. Istoshe kapeleka kile kivuko hadi anataka kuipushi ile gari nashindwa kujua what was the intent maana kaifika lakini there was no plan. Ingekuwa huku kwetu ungeshangaa watu ambavyo wangerukia majini.

Third ile issue ya west gate na ile nyingine yaani huko ndani terrorist wakifyatua unaona huku nje askari wanavyo kimbia hovyo hovyo sio SWAT, sio sijui anti terror squads sio normal military personnel wote unaona wanatoka mbio in front of the camera. Very shame.

Brother ombeni game tunaleta mgambo tu no need kusumbua the highly respected JWTZ army from the country of the braves.
 
Back
Top Bottom