Hongera Jeshi letu na Wanamaji (Navy), haya maonyesho ya manowari ni wazi mko vizuri

Hongera Jeshi letu na Wanamaji (Navy), haya maonyesho ya manowari ni wazi mko vizuri

Usije ukakimbia dogo(Hii inagonga Nairobi na kuiteketea na kuwa majivu kabla ya ndege zenu kuruka)

1571993129032.png

Hizi ni Radar za kivita
1571993202020.png
 
Mmeshndwa kagenge cha wahuni toka somalia mnataka mechi na TZ wakenya akili zao fupi saana.

Ombeni na somalia... Ili mujihakikishie uhuru na amani yenu..
Ombeni mechi tuone nani kenge baina yetu, hivi Tanzania mna jeshi la wanamaji kweli? Au meli za kivita hata moja.
Najua mnao wale wapasua matofali wa maonyesho, ila pia nakumbuka kuna kipindi mlifanya maonyesho ya kulipua minazi kwenye fukwe...hehehe
 
Heheee...na mbona hamjawai jihusisha kwenye peace keeping missions Kama Kenya na Ethiopian
Tanzania People's Defence Force iko kwenye peace keeping missions huko Darfur Suda, Congo DR, na Lebanon. TPDF ndio treaners wa UPDF na wako DRC pia wakitoa mafunze kwa jeshi la DRC. Unataka nini tena? Pia ujue kuwa Tanzania hatuna military basya nchi yoyote nchini kama ilivyo Kenya, Tz tunajiamini, TPDF ni jeshi imara, TPDF tosha [emoji123][emoji123]

Vv

VV
 
Waelewa maana ya foreign military base?
 
Back
Top Bottom