Hongera JF kwa Whistleblow, JF tubadilike, tusichafue majina ya Watu kwa tuhuma za Hearsay zisizo na Uthibitisho, Ukituhumu, Weka Uthibitisho

Oooh yes, well said my friend!!

Nafikili Pascal Mayala kakupata vilivyo!
 
Mkuu Kulwa Jilala , next time before you write anything, get your facts right, Waandishi wa kitabu hiki ni waandishi manguli wanne From the book 'I am the State' (Mimi ni Dola)
Balile sii miongoni mwao!. Hivyo acha kuchafua majina ya watu!.

Mode: Niliwahi kushauri, mtu akileta tuhuma zozote humu JF kwa kutaja majina ya watu, alete na ushahidi wa uthibitisho ili JF tuepuke kuchafua watu bure!.

P
 
MEI 3 ya kila mwaka ni Siku ya Kimataifa ya Uhuru wa vyombo vya habari, Mimi Pascal Mayalla, kwa niaba yangu kama mwanahabari ambaye ni mwandishi wa habari huru na wa kujitegemea kwa kujitolea na kwa niaba ya kampuni yangu ya PPR as chombo huru cha habari, niwatakie wanahabari wenzangu wote, maadhimisho mema ya siku hii, huku nikidurusu, niliwahi kusema nini kuhusu uhuru wa habari kwa media zetu za Tanzania yetu.

Nawatakia maadhimisho mema ya siku yetu hii ya leo na uhuru wa habari mwema.
Paskali.
 
Siasa za bongo bwana..... Ndio maana CCM hawatoki madarakani...
 
Duh!
 
Nakubaliana na wewe juu ya uadilifu na uungwana wa Mhe. Dotto Biteko.
Lakini nikupe tahadhari ya matumizi ya maneno "mzalendo wa kweli".
Hayo ni maneno yanayotumiwa na mtu mwenye nia mbaya na yenye lengo ya kutweza utu wa mtu.
Pasikali, huna Nchi nyingine zaidi ya Tanzania.
Wewe ni mzalendo wa Tanzania, kama walivyo Watanzania wengine wote.
Sote ni Wazalendo wa Nchi yetu.
Kamwe tusikubali kugawika wala kubaguana.
Hakuna Mtanzania ambaye ni mzalendo wa kweli zaidi ya Mtanzania mwingine. Hii ni lugha ya kubaguana.
Sisi sote ni sawa.
 
"Mzalendo wa kweli" ni neno la kiCCM ambalo huwezi kulipata kama hauko ndani ya Chama Chao. Yaani CCM Wana kipimo Chao cha Uzalendo ambacho dunia nzima Hakuna ni wao tu.
 
Baadhi ya Wabongo wana wivu,chuki,fitnah, na majungu hasa wanapokwama kukufanyia ushirikina na uchawi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…