Hongera JF kwa Whistleblow, JF tubadilike, tusichafue majina ya Watu kwa tuhuma za Hearsay zisizo na Uthibitisho, Ukituhumu, Weka Uthibitisho

P kwani wewe mtu wa usalama? Mtoa taarifa alikuwa na nia gani? Kumchafuwa waziri au ku alert umma na taasisi nyeti zenye mamlaka kufanya uchunguzi? Mimi nadhani mtoa taarifa mara zote hatoi full details ili msije kumtambuwa anatoa story fulani ambapo investigater akipewa anajuwa apite wapi. Mimi ningeshauri tukae kimya ukweli utajulikana. Kitendo cha wewe kuanza andika nakuchambuwa taarifa ya mtoa taarifa nikuonekana wazi umetumwa na hili laweza kukusumbuwa mbeleni. End
 
Lazma atoke, Kwani nani alisema hii nchi ni ya WASUKUMA tu, mjomba wenu keshaondoka washenzi ninyi, mlidhani atatawala milele kaweka wasukuma wenzake sehemu zote zenye upigaji ili ajigaie mfyuuu zenu
 

Ndugu yangu kwa mwendo nnavyouona na kushuhudia machache, kupima uzalendo au uaminifu wa mtu imekua kazi ngumu kuliko kuutafuta Ufalme wa Mungu.

Ila nashukuru kwa maelezo yako kaka.
 
Hii nchi kuna utofauti mdogo sana kati ya mtu fisadi na mtu safi...

Mimi nikisikia kuwa mtu fulani ni fisadi, jambo la kwanza huwa naamini hiyo taarifa hata kama haina ushahidi...
hususani anayetuhumiwa ni kigogo ndani ya chama tawala
 

Ila mkuu hawa wanaojifanya wazalendo kweri kweri wametugharimu sana. Msikie huyu:

Your browser is not able to display this video.


Si uliwahi kusikia wakisema umdhaniaye siye ndiye?
 
Naunga mkono hoja.
 
Mkuu Mmawia , uko right ndio maana nimeshauri, ukituhumu kama una uhakika, leta na ushahidi, au uthibitisho, vinginevyo leta tuu tuhuma as a Whistleblowing lakini usitaje majina ya mtuhimiwa.
P
P.
Ushahidi unatakiwa mahakamani hapa ni ngonjera tu! Acha waumane tunahitaji watendaji ili taifa Lilongwe mbele. Shida kubwa hapa ni umimi na siasa chafu.!
 
Mkuu Paskali uko sahihi sana kweye taito ya huu uzi. Ila kwenye kusema Biteko ni mzalendo eti kwa kumsikiliza hapo umeteleza mkuu.
kweli kabisa ilitakiwa bandiko lake liwe neutral, kusema kuwa anamfahamu sijui alimuona wapi kukutana nae akiwa kwe shughuli zake hio haimfanyi bwn mayalla kumjua huyu mtu kuwa ni muadilifu au la, labda km anamfahamu zaidi ya alivyoandika hapa
 
Kumtuhumu Waziri Biteko bila ushahidi si muelekeo mzuri,tunaelekea kwa Msiba.
Lakini hatusemi Waziri Biteko hawezi kufanya mambo yasio sahihi katika kutekeleza majukumu yake,lakini tusilete ushahidi wa kubumba.
Tumpime Waziri Biteko kwa matendo yake sio kwa kabila yake wala ukanda wake.
 
ht mwendazake alipanga safu yake pia, kuna kosa gani kwa mama kufanya hivyo? hii dhana kuwa anaamishwa hivi vile ni kumdhalilisha tu aaminishwe kwani ye hana utashi binafsi wa kuamini au kutoamini mpk aaminishwe?
 
Lazma atoke, Kwani nani alisema hii nchi ni ya WASUKUMA tu, mjomba wenu keshaondoka washenzi ninyi, mlidhani atatawala milele kaweka wasukuma wenzake sehemu zote zenye upigaji ili ajigaie mfyuuu zenu
Kwani hao wasukuma wanaolalamikiwa wapo wangapi ambao ni mawaziri sasa mpk watu wawalaumu hivo?
 
Kunywa Heineken 5
 
Mimi huwa najibu vichwa vya habari tu vya haya magazeti nisiyoweza kuyasoma kwa kirefu chake. Kichwa cha habari chenyewe kinajichanganya, sasa huko ndani ya habari yenyewe ndiko kulikokorea zaidi kwa mizunguko mingi isiyoeleweka.

Mtu hadi atuhumiwe ni budi pawe na viashiria vya tuhuma hizo, kama siyo mwonekano mzima wa matukio anayojihusisha nayo. Unategemea wasomaji wa JF wakatafute ushahidi wapi? Hiyo hoja ya kutafuta ushahidi ndicho kichaka cha kufichia ufisadi. Kwani wanapofanya uharifu wanakuachia ushahidi wa huo uharifu wao ili ukautumie JF?

Upopo ni tabia mbaya sana kuwa nayo mtu.
 
Mbuyu ukikatika/ukikatwa huangukia miti midogomidogo na kuikata/kuivunja iwapo ipo jirani/karibu na mbuyu ulokatwa/kukatika....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…