Hongera JF kwa Whistleblow, JF tubadilike, tusichafue majina ya Watu kwa tuhuma za Hearsay zisizo na Uthibitisho, Ukituhumu, Weka Uthibitisho

...Ungekuwa mbunge bora!!! You nailed it!
 
Watu wanacho lalamikia ni kipindi kilichopita mlitumia vibaya nafasi mlizo pewa na ndugu yenu
Mimi sio msukuma ni mkaskazini ila hio idadi ya mawaziri wasukuma mbona siioni isababishe mpk watu walalamike hivo?
 
Sasa na wewe hizo ni tuhumu tu unazitoa
 
Acha tuamini haya maneno ya mtaani mara nyingi huwa yanaukweli.

Leo unataka watu waweke ushahidi humu wa tuhuma, hebu tuambie na nani aliyewahi kutuhumiwa na ushahidi wake ukawekwa humu jamvini.

Maelezo yanajitosheleza kabisa ni namna gani Biteko anafanya ufisadi. Vyombo vyenye mamlaka kama vinaona inafaa vifanye uchunguzi.

Vinginevyo tusubiri siku wakikosana wenyewe huko watashughulikiana.
 
Kigezo gani umetumia kufikia hitimisho kuwa Biteko ni mzalendo?
Huyu mleta mada, ana mahaba yake binafsi, au amepewa contract ambayo kwa vyovyote hana uwezo nayo, lakini kwa sababu ya tamaa, ameikubali.

Nimeongea na mmoja wa watu waliopewa jukumu la kufanya chochote kinachowezekana kumsafisha dhidi ya uchafu wake (Biteko). Japo wote niliotajiwa kupewa hiyo kazi wapo ofisi ya jumba jeupe, kule kwa ndugae na kiranja wa mawaziri, kuna uwezekano mkubwa pia wapo wengine. Huenda huyu mwenzetu ni miongoni.
 
Tatizo lako huelewi chochote. Niwe na tatizo na wasukuma, kwani mimi ni nani?

Tatizo nililo nalo ni dhidi ya watu wanafiki kama Biteko, wanaotaka waonekane ni watu wema mbele ya watu wasiowafahamu. Tunaongelea juu ya Biteko kuwa corrupt, na hilo halina ubishi. Kuna siku utakuwa bubu, uthibitisho wa mengi machafu utakapokuja kuwekwa wazi na vyombo vyenye mamlaka.

Utusi wake siyo hoja, maana sheria zetu hazisemi ili uwe Mtanzania unatakiwa uwe kabila gani. Cha muhimu ni kama alifuata taratibu za uhamiaji ili kupata haki ya kuwa mtanzania.
 
Declare Interest Ndugu Paskali kwanza maana una kampuni ya PPR.

Hapa watu wanatoa clue kwanza kisha vyombo vya dola vinaenda kupekenyua ,hauwezi kumwaga kila kitu hapa jamvini.
 
Mayala acha unafiki. Tamaa ya pesa uzeeni itakuponza.

Kama Biteko ni mzalendo, basi hakuna wazalendo Duniani. Kama Biteko siyo corrupt, basi Watanzania wote siyo corrupt.

Kwa sasa sijui kama kuna Waziri mla rushwa kama huyu. Nenda Bariadi kule Dutwa, Shinyanga kule Nyandolwa, Kahama kule Mwabomba, Masumbwe kule Nyakafuru, kaongee na waliopewa maeneo yaliyokuwa yanamilikiwa na makampuni makubwa, wakuambie waliyapataje hayo maeneo. Wengine walilazimika kuchangishana ili kupata kiwango kilichotakiwa.
 
Hongera bhana ndugu msukuma, maana najua utakuwa msukuma tu!
Wasukuma pamoja na kuwa na rasilimali nyingi za hayo madini unayosema, bado ni maskini wa kutupwa! Elimu wengi wao hawana, wamejaa ushamba mwingi tu!
Pamoja na hayo ya kusema mmeamka bado mtabaki hapo hapo mlipo labda muache kwanza kuabudi mizimu na kufanya ushirikina pamoja na ulozi!
Ujinga wenu utachukua miaka 1000 zaidi kuwatoka!
 
Dotto Biteko na sukuma gang yote ni wezi tu!
Mkuu monde arabe , hiki ndicho nilichokisema na lengo la uzi huu ndio kuzuia kitu kama hiki.
Unamtuhumu mtu mwizi na kisha unaaza kumuita lijizi!.

Pia niliwahi kusema na nitaendelea kusema tena na tena, hakuna hiki kitu kinachoitwa "The Sukuma Gang", it's just a fictitious group made by yule mzushi wa Twitter.
Hakuna Sukuma Gang group popote, ila ndani ya serikali kuna baadhi ya viongozi ni wa kabila la Wasukuma. Watu wa kabila hili ni wapole, wanyenyekevu, waaminifu na ni wachapakazi sana. Baada ya kifo cha JPM, ndio wakaundiwa zengwe kuwa walitaka kufanya jambo, vitu ambavyo ni uzushi na uongo mtupu. Kwa vile humu kwenye mitandao ya kijamii kuna watu wajinga wajinga kibao, wewe ikiwemo, ndio mkauamini uzushi huu. Mjinga akielimishwa ujinga unamtoka anakuwa mwerevu. Mjinga ambaye ukimwelimisha, ujinga haumtoki, huyo sasa sio mjinga tena, ni ...(nimelihifadhi neno lenyewe kuepuka kuianza wiki na kisirani), hivyo hata baada ya kusoma post hii, kama bado unaamini kundi la Sukuma Gang lipo na lina exist, endelea kuamini hivyo, maana kuamini kitu ni mambo ya imani, kuna wengine, wakiisha aminishwa kitu, huwezi kuwabadilisha, ila kiukweli kabila la Wasukuma ndilo kabila linaloongoza kwa wingi nchini Tanzania, hivyo panga pangua, lazima watakuwa wengi kwenye kila nafasi, uzuri wao ni hawana ule ukabila mbaya na ni wachapakazi sana.
P
 
Wasukuma ni wachapakazi lakini hawawafikii watu wa Nyanda za Juu Kusini kwa bidii na nidhamu ya kazi. Wasukuma ni wachapakazi lakini wanakosa nidhamu ya kazi. Hawajali muda wala unadhifu wa kazi.
 
Lakini bwana Pascal mpaka serikali kuamua kutuma TAKUKURU si ina maana kuna taarifa za upoteaji wa madini huko mirerani? Nadhani taarifa zipo kuhusiana na tuhuma zilizotajwa hebu tuvute subra ukweli uwekwe wazi.mkianza kuwa wakali wakati hata uchunguzi haujakamilika tutawatilia mashaka.
 
Nadhani role ya JF ni kama whistlebrowers, na nchi hii ina vyombo luluki vya ulinzi na usalama kuweza kufanyia kazi tuhuma zinazoelekezwa kwa viongozi wetu. Ndugu yetu @P. Mayala usiwe mwepesi kumtetea mtu kwa kumsiliza kwenye video ukaamini kwamba ni mwadilifu. Grand emblezements juu rasilimali za taifa hufanywa na watu wenye nafsi kubwa za kimadaraka
 
Wasukuma ni wachapakazi lakini hawawafikii watu wa Nyanda za Juu Kusini kwa bidii na nidhamu ya kazi. Wasukuma ni wachapakazi lakini wanakosa nidhamu ya kazi. Hawajali muda wala unadhifu wa kazi.
Mkuu Hamatan , huu ni ukweli mchungu kutuhusu, ni kweli tunachapa kazi kama tingatinga, ama kama kuswaga ng'ombe, najua mliona jinsi Blaza alivyowaswaga, hadi akaonekana kama nyapara. Tunakabiliwa na ushamba na kutokuwa makini, na ni watu wenye madharau sana, hivyo ni walipuaji wazuri, na hatujui sana quality, and we don't give a dam about time, na tatizo jingine kubwa kuhusu sisi, ni ule udhaifu wetu kwenye mambo yetu yale, ila kwa upande wa roho nzuri, tuna roho nzuri sana, tunaupendo sana, tunaushirikiano sana, tunajichanganya sana, sio wezi, sio mafisadi, ni waaminifu sana, ila sio uaminifu katika yale,
P
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…