Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 31,913
- 65,514
Hi ni yako, rafiki yangu mpendwa trudie
Mwenyezi Mungu akubariki katika ulichopewa na umshukuru aliyekupa, na afike kuwa mkubwa, na uruzukiwe wema wake. Na aliyepongezwa atamuombea aliyempongeza kwa kumwambia:
''Mwenyezi Mungu akubariki na ateremshe baraka juu yako, na Mwenyezi Mungu akujaze kheri, na Mwenyezi Mungu akuruzuku mfano wake, na afanye nyingi thawabu zako.''