Hongera JF member "Trudie" kwa kupata mtoto, kheri ikawe kwako na familia yako

Hongera JF member "Trudie" kwa kupata mtoto, kheri ikawe kwako na familia yako

Hi ni yako, rafiki yangu mpendwa trudie
Mwenyezi Mungu akubariki katika ulichopewa na umshukuru aliyekupa, na afike kuwa mkubwa, na uruzukiwe wema wake. Na aliyepongezwa atamuombea aliyempongeza kwa kumwambia:

''Mwenyezi Mungu akubariki na ateremshe baraka juu yako, na Mwenyezi Mungu akujaze kheri, na Mwenyezi Mungu akuruzuku mfano wake, na afanye nyingi thawabu zako.''View attachment 2603405
Hongera sana trudie
 
Asante sana....ile siku ndio kwanza alikuwa na siku chache nasoma story usiku nilicheka kwa nguvu sana hadi aliamka, nahisi hadi ndugu vyumbani mwao walishangaa
Ulicheka hadi ukamshirikisha na kichanga 😅😅😅
 
Back
Top Bottom