Hongera JF member "Trudie" kwa kupata mtoto, kheri ikawe kwako na familia yako

Hongera sana trudie
 
Asante sana....ile siku ndio kwanza alikuwa na siku chache nasoma story usiku nilicheka kwa nguvu sana hadi aliamka, nahisi hadi ndugu vyumbani mwao walishangaa
Ulicheka hadi ukamshirikisha na kichanga πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Hongera kwake dear,
Watoto ni faraja, abarikiwe ktk kumpa malezi mema na bora ya kumpendeza yeye.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…