Hongera JF member "Trudie" kwa kupata mtoto, kheri ikawe kwako na familia yako

Naona Ukikaa bila kummisso sis ake huridhiki kabisaa haha!!

Watoto ni baraka kichaa akee Much congrats to her Mungu awajalie afya njema na uzima telee wote mama na mtoto na mama arikave na kukomaa haraka!!
Amina asante sana [emoji3059][emoji3059]
 
Ulicheka hadi ukamshirikisha na kichanga [emoji28][emoji28][emoji28]
Nikicheka sana mkuu, ule story kuna matukio mpaka leo nikikumbuka huwa nacheka. Nina rafiki yangu dalali wa nyumba basi nikikumbuka ile part yako unamwambia dalali kwani hataki kuhamia nyumba nzuri navunjika mbavu.
 
Hivi ni nani ALIKUJA KUDAI MTOTO KWA MUMEWE HUMU JF? YAANI WALITIANAH HUKO NA KUZALISHANA. MUME AKAENDA KUCHUKUA MTOTO MKE AKAJA KUDAI JF.... WANAWAKE WENGINE UKIAMBIWA UCHAGUE NA KITUMBUA UNACHAGUA KITUMBUA. USELESS KABISA.
Chizi pande hizi kuna positive vibes tuu hutanipa makasiriko halafu baada ya kujua ni chizi kweli sio jina tuu nikaapia sitakupa kiki tena no matter uzi gani utauanzisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…