Hongera Kenya(Kenyatta na Odinga) kwa kuuona mwanga na kufungua ukurasa mpya!

Hongera Kenya(Kenyatta na Odinga) kwa kuuona mwanga na kufungua ukurasa mpya!

Hawa jamaa ni wanafiki sana, alafu hawana kumbukumbu!
Unajua kwa hapo kila mtu atakuwa na mtazamo wake,watu walitilia mashaka kuhusu wao kukutana bila kuhusisha wengine na wakadhani ni kitendo cha usaliti au anaenda kuzungumza mambo ambayo ni kinyume na wao kutokana na yeye mwenyewe alikuwa hicho chama kabla hajjajiunga huko sasa kwa namna hiyo lazima watatilia shaka tofauti na hao wakenya odinga nenda rudi yeye ndio mshindani sasa hapo nadhani kuna ambao watajifunza na kutaka kufananisha hicho kitendo kwa namna hiyo lazima kutokee migongano na ndio tunachoona kwenye comment za watu
 
Hili ndilo tatizo la forum nyingi za Bongo. Ukiwa kinyuma na wanaoilaumu serikali basi wewe uko upande wa serikali. Tuanafanya ule ushabiki uliopitwa na wakati wa Simba na Yanga. Kuua vile vile siyo kuzuri. Sifu pale panapostahili na kosoa pale panapostahili. Siasa za Kenya huzijui wewe. Omba Mungu uzima ufike wakati wa uchaguzi ndiyo utashangaa (kama utakuwa na kumbukumbu kwani wabongo wengi hawana) jinsi watakavyogeukana na kuchochea mauaji!
Sasa kama unaishi Ulaya tuachie forums zetu za Bongo... Wajifanya wajua kumbe waungua na jua....
 
Unajua kwa hapo kila mtu atakuwa na mtazamo wake,watu walitilia mashaka kuhusu wao kukutana bila kuhusisha wengine na wakadhani ni kitendo cha usaliti au anaenda kuzungumza mambo ambayo ni kinyume na wao kutokana na yeye mwenyewe alikuwa hicho chama kabla hajjajiunga huko sasa kwa namna hiyo lazima watatilia shaka tofauti na hao wakenya odinga nenda rudi yeye ndio mshindani sasa hapo nadhani kuna ambao watajifunza na kutaka kufananisha hicho kitendo kwa namna hiyo lazima kutokee migongano na ndio tunachoona kwenye comment za watu
Uhuru na Raila wamefanya mapatano ya wazi, yale ya Lowasa na JPM walikutama kivyao tena kimya kimya, wakaenda kupongezana. Ili kutoleta sura/ picha mbaya wakajifanya kupiga picha pamoja lakini kilichoongelewa no one knows.
 
Wasiposameheana hao waliopoteza maisha watarudi?
sijamaanisha hivyo, hawa walipokuwa kwenye kampeni walijifanya wapo na wafuasi wao, hadi kwenye misiba walienda, sasa leo vipi? Kwanini walisababisha wakenya wasio na hatia kupoteza maisha? Mbona hakuna aliyepoteza maisha kati yao?
 
Uhuru na Raila wamefanya mapatano ya wazi, yale ya Lowasa na JPM walikutama kivyao tena kimya kimya, wakaenda kupongezana. Ili kutoleta sura/ picha mbaya wakajifanya kupiga picha pamoja lakini kilichoongelewa no one knows.
sawa labda ni kweli ila kwa sasa hili swala ni zito kutokana na hali tunayopitia na hata ikifanyika inaonekaa ni basi tuu illi siku ziende lakini kwa sisi bado sanaa maana haiwezekani mtu aje kupatna wakati hata mkusanyiko kwake ni kosa tosha kikubwa niishie hapa
 
Uhuru na Raila wamefanya mapatano ya wazi, yale ya Lowasa na JPM walikutama kivyao tena kimya kimya, wakaenda kupongezana. Ili kutoleta sura/ picha mbaya wakajifanya kupiga picha pamoja lakini kilichoongelewa no one knows.
sawa labda ni kweli ila kwa sasa hili swala ni zito kutokana na hali tunayopitia na hata ikifanyika inaonekaa ni basi tuu illi siku ziende lakini kwa sisi bado sanaa maana haiwezekani mtu aje kupatna wakati hata mkusanyiko kwake ni kosa tosha kikubwa niishie hapa
 
Sasa kama unaishi Ulaya tuachie forums zetu za Bongo... Wajifanya wajua kumbe waungua na jua....
Again another Bongo problem! Ukinionyesha sehemu niliyosema naishi Ulaya basi nitakuachia hii forum na nitapigia debe uwe unapost wewe peke yako!
 
kule wanasiasa wote hao wako powerful,hapa kwetu hawajafikia level ya kumtia mtu jambajamba.
 
Again another Bongo problem! Ukinionyesha sehemu niliyosema naishi Ulaya basi nitakuachia hii forum na nitapigia debe uwe unapost wewe peke yako!
Kwani umepost nini cha maana hapa jamvini zaidi ya kuzarau wabongo? Hata uondoke leo no one will notice.... Ni ujuha na upimbi wa hali ya juu kuhitimisha "wabongo wana matatizo " by simply one comment from me out of 50ml plus Tanzanians.
 
Siyo kwa sababu ya comment yako moja jombii! Nimeandika fact. Vitu vinavyokula nchi yetu kama mchwa 1. Kusahau mambo kwa kasi ya ajabu na kufuata mkumbo 2. Uvivu na uzembe. Haya mambo penda usipende yameshakuwa kama sehemu ya utamaduni wetu.
 
Uhusiano wa Lowasa Na Kenyatta ulikuwa purely for business interest Chadema mkaingia mkenge mkambwaga Raila odinga rafiki yenu wa miaka kisa Lowasa!!!!! Mwenye business interest Na Kenyatta family Na wamasai matajiri wa Kenya.K anakulisha foreign policy ya chadema Na Kenya kienyeji tu kwa interest zake Na chadema wakadakia una badilisha he foreign policy ku suit individual? Chadema mlichemka
pointless
 
Hakuna watu wepesi kurubuniwa Kama kundi kubwa la watanzania, nimeanza kuelewa ndo maana watu waliaminishwa jamaa fulani ni fisadi miaka kibao halafu ghafla akapitishwa kugombea watu wakashangilia na kudeki lami huku wakizungusha mikono.Kenyatta ameua Sana mpaka alipelekwa ICC,kafanya ufisadi kufuru kuanzia baba yake karibu moja ya tatu(1/3) ya ardhi ya Kenya inamilikiwa na ukoo wake, ni moja ya maraisi matajiri Afrika kutokana na kuwatia umaskini kuwapokonya ardhi wakenya, Leo akipatana na Odinga mnamuona shujaa?,nakubaliana na Mzee Mkapa waliokuwa wakizungusha mikono 2015 nni WAPUMBAVU na MALOFA.Hammjui Kenyatta vizuri, na vile vile hammjui Lowassa vizuri.
 
Safi sana Kijana muelewa,huwezi mlinganisha na washamba wa kwetu.
 
Una mawazo ya Kiafrika,Muhimu kuwa kaomba msamaha,yeye ni raisi hana umuhimu wa kuomba msamaha hasa kwa vile hii ni awamu yake ya mwisho

Msamamaha aliouomba Kenyatta kaiweka kenya sehemu nzuri kaika kuwatika ramani ya dunia,kwa wawekezaji,kwa wafadhili,kwa fanya biashara nk
Hahaha mkuu chabuso , mawazo ya kiafrika yapoje? Mimi ni muafrika lazima niwe na mawazo ya kiafrika , ndio maana nimesema ni siasa tu alichokifanya uhuru , si cha ajabu hata kidogo ,angekifanya hicho wakati ana kesi , bila kuvuruga mashahidi kule hegue ndio ningemuona ni mfano wa kuigwa lakini sasa , kaona awamu yake imekwisha anaomba msamaha ni tendo lakawaida tu, ajiuzulu basi tujue kamaanisha .na ndio tendo la kishujaa.
 
Wewe Dunyua vipi? Sisi haikuwa hand shake tu. Sisi Magufuli na Lowassa walikaa pamoja ikulu masaa kibao waki chat, kufurahi na kupata lunch. Wakatoka wawili na kutoa maneno matamu kwa waandishi wa habari. Kitendo hicho kikawauma sana chadema, wakafura na kuitisha mkutano wa dharura wa NEC kwa madhumuni ya kumwadabisha Lowassa. Sasa hapa anayepaswa kujifunza ni nani kama si chadema?
Umenena ukweli kabisa , wakujifunza hapo ni MACHADEMA.
 
Back
Top Bottom