Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 16,419
- 26,594
EeeenHeee Heeee!Kwa hakika sie CCM, hasa tuliokuwa wanachama waasisi, tumefurahi sana kurudi kwa Kinana uongozini CCM.
CCM ya hoja,
CCM ya mshikamano
CCM ya umoja
CCM ya kutetea haki na misingi ya ubinadamu.
CCM ambayo hata kumpinga kiongozi kwa hoja huna wasiwasi wa kutembelewa na wasiojulikana.
CCM ya kuheshimu kila binadamu
CCM iliyoondoa ukanila
CCM ya kudumisha muungano
Hii ndiyo CCM tunayoifahamu.
Karibu tena Omrade Kinana.
Hakuna CCM ambayo ilikuwa mahututi kama CCM ya 2015 kurudi nyuma! Ni CCM ambayo ilikuwa 50/50!Kwa hakika sie CCM, hasa tuliokuwa wanachama waasisi, tumefurahi sana kurudi kwa Kinana uongozini CCM.
CCM ya hoja,
CCM ya mshikamano
CCM ya umoja
CCM ya kutetea haki na misingi ya ubinadamu.
CCM ambayo hata kumpinga kiongozi kwa hoja huna wasiwasi wa kutembelewa na wasiojulikana.
CCM ya kuheshimu kila binadamu
CCM iliyoondoa ukanila
CCM ya kudumisha muungano
Hii ndiyo CCM tunayoifahamu.
Karibu tena Omrade Kinana.
Umesema ukweli mtupu mkuu.Hakuna CCM ambayo ilikuwa mahututi kama CCM ya 2015 kurudi nyuma! Ni CCM ambayo ilikuwa 50/50!
Nakumbuka 2015 ilifika hatua ata Mabango ya "CHAGUA CCM" hamna yakawa tu "CHAGUA MAGUFULI" watu walikuwa wanauliza CCM hainadiki sasahivi kama vile Magufuli alibeba zigo tu la mavi nakusema ukweli ata mimi ndo ilikuwa mara yangu ya kwanza namchagua mtu wa CCM, JPM! Sikuhitaji sera zake ila nilikuwa naiman na utendaji wake tangia akiwa Waziri.
Sent using Jamii Forums mobile app
Yes huyu Mzee mie namkubari sana.Kwa hakika sie CCM, hasa tuliokuwa wanachama waasisi, tumefurahi sana kurudi kwa Kinana uongozini CCM.
CCM ya hoja,
CCM ya mshikamano
CCM ya umoja
CCM ya kutetea haki na misingi ya ubinadamu.
CCM ambayo hata kumpinga kiongozi kwa hoja huna wasiwasi wa kutembelewa na wasiojulikana.
CCM ya kuheshimu kila binadamu
CCM iliyoondoa ukanila
CCM ya kudumisha muungano
Hii ndiyo CCM tunayoifahamu.
Karibu tena Omrade Kinana.
Watanzania kamwe hawatoacha kuchezewa akili......we Jidu La Mabambasi hivi unaelewa unachokiandika kweli?Kwa hakika sie CCM, hasa tuliokuwa wanachama waasisi, tumefurahi sana kurudi kwa Kinana uongozini CCM.
CCM ya hoja,
CCM ya mshikamano
CCM ya umoja
CCM ya kutetea haki na misingi ya ubinadamu.
CCM ambayo hata kumpinga kiongozi kwa hoja huna wasiwasi wa kutembelewa na wasiojulikana.
CCM ya kuheshimu kila binadamu
CCM iliyoondoa ukanila
CCM ya kudumisha muungano
Hii ndiyo CCM tunayoifahamu.
Karibu tena Omrade Kinana.
EeeenHeee Heeee!
Wewe 'jamaa' sikujua kuwa uko hivi!
Watu wa ajabu sana ndani ya nchi hii.
Kidogo unitie ngeu, shauri ya kumsema Magufuli kuwa laghai..., unakumbuka?
Mara nikakusikia na 'contractors' mnavyoneemeka, lakini hapo hapo husemi neema hizo zinapatikana chini ya Waziri yule yule uliyetaka afutiliwe mbali!
Siku hizi simsikii sana pacha wako 'Masopyakindi', kuna jambo linamsibu?
Jameni, tuweni wakweli kwa nafsi zetu, namna hii wanasiasa watakuwa wanatucheza kama mpira.
Nimeona nikujadili, badala ya mada yako, kwa sababu sijui ukweli wako upo wapi hasa na hizi mada.
Hiyo ni zaidi ya kutazama mkate uliopakwa siagi mkuu 'Bulesi'.WACHUMIA TUMBO; WANAANGALIA UPANDE UPI WA MKATE WAO UNAPAKWA SIAGI!!
Aliua hadi mungu akamuuaUmesema ukweli mtupu mkuu.
Naona una kumbukumbu nzuri sana.
Wengi tulitegemea mwisho wa CCM katika mikono ya Kikwete, na kwa kweli ilikuwa imekwisha kama ulivyoeleza hapa.
Magufuli kaibinafsisha, sasa sijui kama hicho kilichobaki baada ya yeye kuondoka bado kweli kitakuwa ni CCM au mzuka wake?
Ngoja tusubiri tuone itakuwaje na hii timu mpya.
Na deal za hapa na paleKwa hakika sie CCM, hasa tuliokuwa wanachama waasisi, tumefurahi sana kurudi kwa Kinana uongozini CCM.
CCM ya hoja,
CCM ya mshikamano
CCM ya umoja
CCM ya kutetea haki na misingi ya ubinadamu.
CCM ambayo hata kumpinga kiongozi kwa hoja huna wasiwasi wa kutembelewa na wasiojulikana.
CCM ya kuheshimu kila binadamu
CCM iliyoondoa ukanila
CCM ya kudumisha muungano
Hii ndiyo CCM tunayoifahamu.
Karibu tena Omrade Kinana.
Kwani Kinana alipokuwa katibu mkuu wa CCM kipindi cha JK hakukuwa na hivo vitu? Dkt Mvungi kauawa kipindi Kinana hayupo CCM? Je! Dkt Ulimboka alitekwa na kunyofolewa meno kipindi gani? Pinda anatoa agizo kuwa na wapigwe tu kipindi gani? Je! Yuke Mwandishi wa Habari wa Chanel Teni Marehumu Daudi Mwangosi aliuawa Iringa? Dkt Slaa alivunjwa mkono kipindi cha Bashiru eeh? Jaman mbon wasaulifu hivo? Mnaweka wapi akili zenu? Ayah matukio yapo miaka na miaka sema safari ile yaliwakuta wenyewe ambao wanajua kutengeneza maneno na kuandika stori zao kwenye vyombo vya habari!Yes huyu Mzee mie namkubari sana.
Tusahau kutekana mauwaji na vitisho.
Tunategemea kukua kwa democrasia
Siasa inabadilika kila uchao.EeeenHeee Heeee!
Wewe 'jamaa' sikujua kuwa uko hivi!
Watu wa ajabu sana ndani ya nchi hii.
Kidogo unitie ngeu, shauri ya kumsema Magufuli kuwa laghai..., unakumbuka?
Mara nikakusikia na 'contractors' mnavyoneemeka, lakini hapo hapo husemi neema hizo zinapatikana chini ya Waziri yule yule uliyetaka afutiliwe mbali!
Siku hizi simsikii sana pacha wako 'Masopyakindi', kuna jambo linamsibu?
Jameni, tuweni wakweli kwa nafsi zetu, namna hii wanasiasa watakuwa wanatucheza kama mpira.
Nimeona nikujadili, badala ya mada yako, kwa sababu sijui ukweli wako upo wapi hasa na hizi mada.
Mnasahau waliosema wametolewa na Magufuli jalalani, kumbe wametoka vyuo vya hadhi kubwa kabisa.WACHUMIA TUMBO; WANAANGALIA UPANDE UPI WA MKATE WAO UNAPAKWA SIAGI!!
Ni kweli walimwambia sana mkwere,yakuwa chama kunamfia mkononi mwake,leo kinana ni wa kupongezwa?kuwen siriaz basiHao si ndio walisema chama kitawafia wakamtafuta mwendazake. Maji yakiwa Ya shingo tena mnamtafuta jiwe mwingine? CCM hamna kabisa viongozi ndio maana mnazunguka walewale
Dr. Slaa alivunjwa mkono na mkewe kuumizwa kipindi hicho.Kwani Kinana alipokuwa katibu mkuu wa CCM kipindi cha JK hakukuwa na hivo vitu? Dkt Mvungi kauawa kipindi Kinana hayupo CCM? Je! Dkt Ulimboka alitekwa na kunyofolewa meno kipindi gani? Pinda anatoa agizo kuwa na wapigwe tu kipindi gani? Je! Yuke Mwandishi wa Habari wa Chanel Teni Marehumu Daudi Mwangosi aliuawa Iringa? Dkt Slaa alivunjwa mkono kipindi cha Bashiru eeh? Jaman mbon wasaulifu hivo? Mnaweka wapi akili zenu? Ayah matukio yapo miaka na miaka sema safari ile yaliwakuta wenyewe ambao wanajua kutengeneza maneno na kuandika stori zao kwenye vyombo vya habari!
Yani Leo ushasahau kuwa JAKAYA alitoa amri ya kufutwa kwa uchaguzi wa Zanzibar 2015 kinana akiwa ndiye katibu mkuu wa chama na Nape Katibu mwenezi! Serious leo unatarajia ushindani serious kweli! Nakushangaa sana ndugu yangu!
Sent using Jamii Forums mobile app
Hauko siriaz wewe,Kinana huyu tunaemjua yakuwa ndie kinara wa sisi ndio Ccm wenywe,ambao wapo kupora rasilimali za Taifa tu,sio kuwakomboa wananchi,timu yao ni hii hapa,Kwa hakika sie CCM, hasa tuliokuwa wanachama waasisi, tumefurahi sana kurudi kwa Kinana uongozini CCM.