Fortyseven
JF-Expert Member
- Oct 30, 2020
- 1,129
- 2,142
NGOJA NIANDIKE KWA HERUFI KUBWA MM SI9 MNAZI WA SIASA ILA MIAKA 71 KWELI JAMANI NI SAHIHI??? huyu si kazeeka kabisa hata nguvu za kufikiri zmepungua sana😇
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani hukujua kuwa mi ni kiazi?Kuna wakati nilidhani una la maana, kumbe ni mmoja wa'viazi' tunaowaona humu JF kila siku!
Sina sababu ya kuendelea kujibishana na kiazi.
Kulikuwepo kina Makonda wa miaka 35, Sabaya wa miaka 31 na Hapi wa 34.NGOJA NIANDIKE KWA HERUFI KUBWA MM SI9 MNAZI WA SIASA ILA MIAKA 71 KWELI JAMANI NI SAHIHI??? huyu si kazeeka kabisa hata nguvu za kufikiri zmepungua sana😇
Haaahah,hapo ulioopo unanunua bei gani mafuta ya kula,sio yakuwa ndio wale bendera fuata upepo,hakuna kipya kwa hawa wazeeIle Tshs 1.5 Trilioni ulipata mgao?
Ya aina gani kwa mtz?Kwa hakika sie CCM, hasa tuliokuwa wanachama waasisi, tumefurahi sana kurudi kwa Kinana uongozini CCM.
CCM ya hoja,
CCM ya mshikamano
CCM ya umoja
CCM ya kutetea haki na misingi ya ubinadamu.
CCM ambayo hata kumpinga kiongozi kwa hoja huna wasiwasi wa kutembelewa na wasiojulikana.
CCM ya kuheshimu kila binadamu
CCM iliyoondoa ukanila
CCM ya kudumisha muungano
Hii ndiyo CCM tunayoifahamu.
Karibu tena Omrade Kinana.
Ni kweli walimwambia sana mkwere,yakuwa chama kunamfia mkononi mwake,leo kinana ni wa kupongezwa?kuwen siriaz basi
Kuliko ya wabeba kura kwa viroba 2020?Ccm ya kuiba Kura imerudi.
Samia kapewa ujanja.
Rudisha hao 2025 utapita kirahisi
Sisi tulilijua hilo mapema hata kabla ya 2015.Mwendazake wala asingepita hakuwa na issue.Tangu akiwa Waziri alikuwa na vi elements vya udikteta dikteta.
Usisahau pia:Kwa hakika sie CCM, hasa tuliokuwa wanachama waasisi, tumefurahi sana kurudi kwa Kinana uongozini CCM.
CCM ya hoja,
CCM ya mshikamano
CCM ya umoja
CCM ya kutetea haki na misingi ya ubinadamu.
CCM ambayo hata kumpinga kiongozi kwa hoja huna wasiwasi wa kutembelewa na wasiojulikana.
CCM ya kuheshimu kila binadamu
CCM iliyoondoa ukanila
CCM ya kudumisha muungano
Hii ndiyo CCM tunayoifahamu.
Karibu tena Comrade Kinana.
Bora yako mzee,sio hao wachumia tumboMnachanganya mambo wakati ccm inakufa taratibu; Makamba ndio alikuwa Katibu Mkuu waccm, baada ya Mzee Mangulla kurudi kama makamu wa mwenyekiti condition aliyowapa ilikuwa angekubali hapo tu Kinana angeteuliwa kama katibu mkuu!!
Kinana na Mangulla ndio walioifufua ccm baada ya ufisadi wa Kikwete na Makamba kukikabidhi chama kwa wafanyabiashara na mafisadi papa!!!
Adui mkubwa wa nchi yenu ni huyo Vasco Dagama; hajaridhika kucheza na wajukuu zake huko Msoga bado anawashwa washa kutafuta madaraka!!!
Ofcourse ni CCM hao haoKuliko ya wabeba kura kwa viroba 2020?
Kwa hakika sie CCM, hasa tuliokuwa wanachama waasisi, tumefurahi sana kurudi kwa Kinana uongozini CCM.
CCM ya hoja,
CCM ya mshikamano
CCM ya umoja
CCM ya kutetea haki na misingi ya ubinadamu.
CCM ambayo hata kumpinga kiongozi kwa hoja huna wasiwasi wa kutembelewa na wasiojulikana.
CCM ya kuheshimu kila binadamu
CCM iliyoondoa ukanila
CCM ya kudumisha muungano
Hii ndiyo CCM tunayoifahamu.
Karibu tena Comrade Kinana.