Hongera Kinana, CCM tunayoifahamu imerudi!


Huwezi kulinganisha jakaya na huyo muuaji.
 
Mko narrow minded , you dont see the bigger picture.
 
Acha urongo wewe.Mporaji namba moja Tanzania alikuwa JPM akapora wanyama akapeleka Burigi akapora mali za Serikali kujenga jiji na ikulu Chato.
 
Umezungumza ukweli kuwa CCM ni chama cha wauaji, watekaji na watesaji, wanaoendesha siasa primitive, ambazo kwa kawaida huendeshwa na watu wajinga. Uovu wao unatofautiana tu katika kiwango kwa kutegemea kiongozi wa wakatî husika ni mwovu wa kiasi gani.
 
Naishangaa furaha yako. Ina maana kwamba hakuwepo wa kufaa ktk wanachama wetu wote? Huyu alipaswa kuwa mshauri tu na sio kurejea madarakani tena.

Busara tungezipata pale ambapo wangealikwa kushauri.

Sasa naamini msemo wa JK kuwa CCM ina wenyewe, wengine tupo kuwasindikiza hao wenye chama
 
Acha urongo wewe.Mporaji namba moja Tanzania alikuwa JPM akapora wanyama akapeleka Burigi akapora mali za Serikali kujenga jiji na ikulu Chato.
Mie ni mfia Nchi sio chama,wizi au uharifu haupimwi kwenye mzani,nia ndio hupimwa,alieiba mia akakizi hitaji lake,ila ni mwizi,alieiba bilioni akakizi hitaji lake nae ni mwizi,kama huyo alijenga uwanja chato hatamwondolea huyu tuhuma zake
 
Anacheza kama Hapi
 
Ni kweli walimwambia sana mkwere,yakuwa chama kunamfia mkononi mwake,leo kinana ni wa kupongezwa?kuwen siriaz basi
Maneno hayo yalitoka kwa wapinzani. Unatarajia mpinzani wako ukutabirie mazuri kwenye kilele cha demokrasia na Uhuru wa habari (kwa kiwango chetu).
 
Ile Tshs 1.5 Trilioni ulipata mgao?
 
Kama ni ile ile tunayoifahamu ya tangu enzi za Mwalimu basi itapendeza sana !! Ccm ya wafanyakazi na wakulima !! Kweli karibu sana !!!
 
Duh!
 
Maneno hayo yalitoka kwa wapinzani. Unatarajia mpinzani wako ukutabirie mazuri kwenye kilele cha demokrasia na Uhuru wa habari (kwa kiwango chetu).
Nyie wenyewe CCM ndio mlikiri kuwa hamna budi kwenda na mwendazake ili kuokoa chama. Na mabango 2015 mlibadilisha ikawa sio chagua CCM Bali chagua Magufuli[emoji1787]
Lakini pia nyie si mlizomeana ukumbini huko Dodoma? Mkasema hamna Imani na mwenyekiti?
 
Ndio ni kweli, zile ndizo zilikuwa harufu za ubabe, udikteta usikuma na ushamba wa kusukuma. Maana haikuishia hapo tu mwendazaka pia aliweza kuthubutu kusema serikali ya Magufuli kitu ambacho hata Hon Mkapa alikikemea kwa nguvu sana.

Alichokuwa anatakiwa akifanye ni kuandika chagua CCM chagua Magufuli.

Kiukweli tangu aondoke mwendazake wasiojulikana wametoweka.
 
Ccm ya kuiba Kura imerudi.
Samia kapewa ujanja.
Rudisha hao 2025 utapita kirahisi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…