Hongera Kinana, CCM tunayoifahamu imerudi!

NGOJA NIANDIKE KWA HERUFI KUBWA MM SI9 MNAZI WA SIASA ILA MIAKA 71 KWELI JAMANI NI SAHIHI??? huyu si kazeeka kabisa hata nguvu za kufikiri zmepungua sana😇
 
Kuna wakati nilidhani una la maana, kumbe ni mmoja wa'viazi' tunaowaona humu JF kila siku!

Sina sababu ya kuendelea kujibishana na kiazi.
Kwani hukujua kuwa mi ni kiazi?
You are a very slow learner!
 
NGOJA NIANDIKE KWA HERUFI KUBWA MM SI9 MNAZI WA SIASA ILA MIAKA 71 KWELI JAMANI NI SAHIHI??? huyu si kazeeka kabisa hata nguvu za kufikiri zmepungua sana😇
Kulikuwepo kina Makonda wa miaka 35, Sabaya wa miaka 31 na Hapi wa 34.
Jipime.
 
Bungeni akirudi Rostam package inakua imetimia rasmi.
 
Nafikiria sijui Hali itakuwaje kwa hawa jamaa;-
(1) KATELEFONI FIX kwa uon go uongo wake sijui Kinana kama tukimwomba atakatishe fix atazokuwa anatupiga KATELEFONI fix
(2)MWIGULU NCHEMBA Sijui kama Kinana utamvumilia huyu chizi anayesimamia Uchumi wa nchi,anatutukana watz twende Burundi,mara anaweka mambo ya yanga kwenye bajeti
 
Ya aina gani kwa mtz?
 
Ni kweli walimwambia sana mkwere,yakuwa chama kunamfia mkononi mwake,leo kinana ni wa kupongezwa?kuwen siriaz basi

Mnachanganya mambo wakati ccm inakufa taratibu; Makamba ndio alikuwa Katibu Mkuu waccm, baada ya Mzee Mangulla kurudi kama makamu wa mwenyekiti condition aliyowapa ilikuwa angekubali hapo tu Kinana angeteuliwa kama katibu mkuu!!
Kinana na Mangulla ndio walioifufua ccm baada ya ufisadi wa Kikwete na Makamba kukikabidhi chama kwa wafanyabiashara na mafisadi papa!!!

Adui mkubwa wa nchi yenu ni huyo Vasco Dagama; hajaridhika kucheza na wajukuu zake huko Msoga bado anawashwa washa kutafuta madaraka!!!
 
Mwendazake wala asingepita hakuwa na issue.Tangu akiwa Waziri alikuwa na vi elements vya udikteta dikteta.
Sisi tulilijua hilo mapema hata kabla ya 2015.
Na alikuwa na tabia ya kujikomba kwa ajabu kwa Mkapa na baadaye JK.
Wote hawakujua ni mbwa mwitu kwenye ngozi ya kondoo.
 
Usisahau pia:
CCM ya wapiga Deal na wafaidikaji wa keki ya Taifa.
 
Bora yako mzee,sio hao wachumia tumbo
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…