Kesho ni kipigo dayYaani kesho naona aibu mimi
Samata, majaliwa, mwijaku, baba levo wamezibetia moroccoKesho ni kipigo day
Kesho tunakufa 3-0Kesho ni kipigo day
Haha kesho uzalendo pembeni, kwa kikosi gani tulichonacho mamii?Taifa stars watawashangaza!
Nimejitolea kua pamoja nao😄
Huwa najiuliza wale wachezaji wetu wanaoishi abroad nao hamna kitu!Haha kesho uzalendo pembeni, kwa kikosi gani tulichonacho mamii?
Kwani ulishawahi kuwasikia like playing in big European clubs like R. Madrid, Barca, PSG, Arsenal, Juve, Milan, Man City au hata Aston Villa tukiacha mbali zinazoshiriki daraja la pili UK au Bundasliga?🤣🤣🤣🏃🏃Huwa najiuliza wale wachezaji wetu wanaoishi abroad nao hamna kitu!
Huko wanacheza timu za vichochoroni au
Kwakubet ili nipate maokoto kidogo naweza nikaweka hivyo mkeka wa kwanza Ila wa pili tunanyukwa🤣Watu mnajiogopa tu,
Stars anadroo hyo game.
Msidhani kwamba ni rahisi tu.
Watanzania sijui ni zao la nani, Tupo vilaza kwenye kila sekta.Kwani ulishawahi kuwasikia like playing in big European clubs like R. Madrid, Barca, PSG, Arsenal, Juve, Milan, Man City au hata Aston Villa tukiacha mbali zinazoshiriki daraja la pili UK au Bundasliga?🤣🤣🤣🏃🏃
Kesho nitaweka double chance Morocco win au drawKwakubet ili nipate maokoto kidogo naweza nikaweka hivyo mkeka wa kwanza Ila wa pili tunanyukwa🤣
Mbona Mambo mengine yasiyo na Msingi ya TFF na hata yahusuyo Makocha Wakuu wa Taifa Stars Samia na hata Watangulizi wake walikuwa Wanayaingilia?Hata Kocha wa taifa unataka Samia ndio aingilie kati?
Kama mpaka leo hujui au hujajua nini amekisema jana Kocha Mkuu wa Taifa Stars wakati Redio na Tv Stations pamoja na Mitandao imetangaza na Kuandika na mpaka Rais wa TFF Wallace Karia nae amemshutumu Kocha Mkuu huyo basi utakuwa ni huna Akili.Ungetuambia huyo kocha katoa kauli ipi ya kichochezi... then tuangalie kama ni kweli au lah.