Kennedy
JF-Expert Member
- Dec 28, 2011
- 54,894
- 64,043
😃Yaani kesho naona aibu mimi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😃Yaani kesho naona aibu mimi
Kayasema wapi hayo, kuna link?Ukweli lazima usemwe na ukweli humuweka mtu huru.
Kocha wa taifa stars anajua uwezo wa wachezaji wa taifa stars, hivyo ameamua kusema ukweli...."kwamba kwa kikosi hiki, taifa stars haitoboi. Hivyo tumekuja kutalii na kuwapa changamoto wachezaji kwa manufaa ya baadaye".
Tujifunze kuwa wakwelj kama kocha wa taifa stars. Hivi kweli Kuna mtanzwnia anaamini taifa stars itavuka hata makundi? Kwa wachezaji gani?
Mungu mbariki kocha wa taifa stars.
Hivi kwanini wabongo huwa mnajidharau sana?!! hamjiamini?!!!Ukweli lazima usemwe na ukweli humuweka mtu huru.
Kocha wa taifa stars anajua uwezo wa wachezaji wa taifa stars, hivyo ameamua kusema ukweli...."kwamba kwa kikosi hiki, taifa stars haitoboi. Hivyo tumekuja kutalii na kuwapa changamoto wachezaji kwa manufaa ya baadaye".
Tujifunze kuwa wakwelj kama kocha wa taifa stars. Hivi kweli Kuna mtanzwnia anaamini taifa stars itavuka hata makundi? Kwa wachezaji gani?
Mungu mbariki kocha wa taifa stars.
Labda iibe kura kama CCMTaifa Stars itawashangaza Watanzania.
Mimi naamini watafanya vizuri sana.
Hapo sasa unakwenda sipo. Hunipeleki.Labda iibe kura kama CCM
Hata mm naona hili lifanyike tuende na kocha msaidizi tu naona jama amechoka kuishi DSMNa kwanini mpaka Asubuhi hii ( Leo ) Jumatano TFF haijamfuta Kazi? Mnajitambua kweli nyie?
Hivi Serikali ya Tanzania inajua Athari ya Kidiplomasia ya Kauli yake kwa nchi ya Morocco ambayo inaisaidia mambo kadhaa na muhimu Tanzania?
Na hata Wizara ya Mambo ya Nje nanyi Nawalaumu kwani mlipaswa mlichukulie hatua hili haraka sana kwa Maslahi mapana ya Tanzania na Morocco Kimahusiano.
Algeria anakotoka Kocha wa Taifa Stars kwa muda mrefu sasa imekuwa katika Mgogoro na nchi ya Morocco hivyo huyu Mpuuzi na Kocha mbovu wa Taifa Stars anataka Kutuingiza Tanzania katika Ugomvi usiotuhusu na tusiouhitaji.
Tafadhali afukuzwe haraka sana Ok?
Genta maisha yako yamekua magumu sana hapa GFNa kwanini mpaka Asubuhi hii ( Leo ) Jumatano TFF haijamfuta Kazi? Mnajitambua kweli nyie?
Hivi Serikali ya Tanzania inajua Athari ya Kidiplomasia ya Kauli yake kwa nchi ya Morocco ambayo inaisaidia mambo kadhaa na muhimu Tanzania?
Na hata Wizara ya Mambo ya Nje nanyi Nawalaumu kwani mlipaswa mlichukulie hatua hili haraka sana kwa Maslahi mapana ya Tanzania na Morocco Kimahusiano.
Algeria anakotoka Kocha wa Taifa Stars kwa muda mrefu sasa imekuwa katika Mgogoro na nchi ya Morocco hivyo huyu Mpuuzi na Kocha mbovu wa Taifa Stars anataka Kutuingiza Tanzania katika Ugomvi usiotuhusu na tusiouhitaji.
Tafadhali afukuzwe haraka sana Ok?
Wewe una nini cha ziada?Taifa stars watawashangaza!
Nimejitolea kua pamoja nao😄
Mchezo wa mpira hauhitaji Dua. Ni suala la uwezo na matokeo uwanjani.Sasa watu wanaomba dua zao nayeye anawakatisha tamaa? Afadhali angekaa kimya tu. Hata kama mwanao kiraza mpe moyo [emoji22]
Kwahiyo ephen_ huna akili like for real??😂😂😂Asante.
Kocha mshenzy!!! Anatakiwa awe mnafiki, sio kukatisha watu tamaa, mbwa huyo!Ukweli lazima usemwe na ukweli humuweka mtu huru.
Kocha wa taifa stars anajua uwezo wa wachezaji wa taifa stars, hivyo ameamua kusema ukweli...."kwamba kwa kikosi hiki, taifa stars haitoboi. Hivyo tumekuja kutalii na kuwapa changamoto wachezaji kwa manufaa ya baadaye".
Tujifunze kuwa wakweli kama kocha wa taifa stars. Hivi kweli Kuna mtanzania anaamini taifa stars itavuka hata makundi? Kwa wachezaji gani?
Mungu mbariki kocha wa Taifa Stars.
😂😂😂 matusi ya good morning..haya ndio nayasikia leo sasa!!kwel elim haina mwishoUkimjua mtu hakupi shida..
Ingekua wewe ndo umenitusi ningejiuliza mara mbili😄
Tena hapo mods wame edit ungeona post yenyewe ungenionea huruma
Amenipa matusi ya Good morning!!
Ningekuandikia uyaone sema na mimi nitapigwa ban..😂😂😂 matusi ya good morning..haya ndio nayasikia leo sasa!!kwel elim haina mwisho