Ukweli lazima usemwe na ukweli humuweka mtu huru.
Kocha wa taifa stars anajua uwezo wa wachezaji wa taifa stars, hivyo ameamua kusema ukweli...."kwamba kwa kikosi hiki, taifa stars haitoboi. Hivyo tumekuja kutalii na kuwapa changamoto wachezaji kwa manufaa ya baadaye".
Tujifunze kuwa wakwelj kama kocha wa taifa stars. Hivi kweli Kuna mtanzwnia anaamini taifa stars itavuka hata makundi? Kwa wachezaji gani?
Mungu mbariki kocha wa taifa stars.
[/QUOT
Mijitu yenye mind set ya kushindwa😠,siifagilii hata kidg