Hongera kocha wa Taifa Stars kwa kuwa mkweli. Taifa stars haijaenda AFCON kushindana

Kwani alisema nini mkuu? Hebu tudokeze kwamza kabla yatujaanza kumlaumu
 
Kasema nini? Sijakisikia
 
Amesema kuwa Shirikisho la Soka Afrika ( CAF ) linaipendelea sana nchi ya Morocco kwakuwa ni Taifa Tajiri na linaipangia Ratiba nyepesi ili Kuibeba katika Mashindano mbalimbali tofauti na nchi zingine ( ikiwemo yake ya Algeria ) ambayo inachukiwa na CAF.
 
Kaulii ganiii....sijasikia jana nilikuwa mbalii

Sasa kasema nini uandiki unaweka maelezo meengi quote alichosema uzi uchangamke au we sio conc genta
Amesema kuwa Shirikisho la Soka Afrika ( CAF ) linaipendelea sana nchi ya Morocco kwakuwa ni Taifa Tajiri na linaipangia Ratiba nyepesi ili Kuibeba katika Mashindano mbalimbali tofauti na nchi zingine ( ikiwemo yake ya Algeria ) ambayo inachukiwa na CAF.
 
Acha TFF wampe onyo sio Rais.....saa 100.....TFF watoe onyo na kuomba radhi CAF
 
Du! Huyu hafai. Afutwe kazi mara moja.
 
Kwani kasemaje?
 
Kiongozi weka uzi ukamilike.siyo wote humu wanafuatilia TV.wengine tunaiamini jf kuliko hizo tv na magazeti.
 
Sasa watu wanaomba dua zao nayeye anawakatisha tamaa? Afadhali angekaa kimya tu. Hata kama mwanao kiraza mpe moyo [emoji22]
Dua hazisaidii kama hatuna mafundi wa kushindana kisoka hamasa duwa na mambo mengine wafanyayo ni ujinga tu hatuna uwekezaji kwenye mpira tunaanzaje kuwa moto kwenye timu kubwa na watu wanaojielewa
 
Nilitaka ni kujibu badaye nikarudi kuangalia jina nikaona khaa kumbe ni huyu, kichaaa.
 
Kombe si tulikubaliana lunakuja bongo? Imekuaje tena
 
Miji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…