Hongera kocha wa Taifa Stars kwa kuwa mkweli. Taifa stars haijaenda AFCON kushindana

Kayasema wapi hayo, kuna link?
 
Hivi kwanini wabongo huwa mnajidharau sana?!! hamjiamini?!!!

Tizama timu ndogo zinavyo zihenyesha timu kubwa kwenye michuano hii.

Tanzania inaweza kabisa kushinda endapo watajiamini na kujituma kwa bidii na maarifa.

Tumeona Mali, Mozambique, brukinafaso, Namibia, nk.

Watanzania tusiwe na tabia ya kukatishana tamaa.
 
Taifa Stars itawashangaza Watanzania.

Mimi naamini watafanya vizuri sana.
 
Kocha hana kosa ukweli mchungu Taifa Stars haitoboi huko AFCON labda ingekuwa ni uchaguzi mkuu wangeiba kura kama CCM ndio ishinde
 
Hata mm naona hili lifanyike tuende na kocha msaidizi tu naona jama amechoka kuishi DSM
 
Genta maisha yako yamekua magumu sana hapa GF
 
Hakuna sababu ya kujipa Pressure na Stress; Ndio maana underdogs huwa wanashinda wanakwenda pale ku-enjoy and giving their all (haimaanishi kutokujipa stress za bure ni kuogopa)...., Ukijipa matumaini makubwa inaweza kupelekea uoga wa kushindwa..

Kwahio hii pia ni mbinu ya mashindano / kushindana
 
Sasa watu wanaomba dua zao nayeye anawakatisha tamaa? Afadhali angekaa kimya tu. Hata kama mwanao kiraza mpe moyo [emoji22]
Mchezo wa mpira hauhitaji Dua. Ni suala la uwezo na matokeo uwanjani.
 
Acha hizo wewe, mbona waganga wanadai tunafika nusu fainaLi.
 
Mpaka sasa hakuna waarabu waliopata ushindi
Tuombe Mungu tusiwe wa kwanza kuwa mserereko
 
Kocha mshenzy!!! Anatakiwa awe mnafiki, sio kukatisha watu tamaa, mbwa huyo!
 
Ukimjua mtu hakupi shida..

Ingekua wewe ndo umenitusi ningejiuliza mara mbiliπŸ˜„

Tena hapo mods wame edit ungeona post yenyewe ungenionea huruma

Amenipa matusi ya Good morning!!
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ matusi ya good morning..haya ndio nayasikia leo sasa!!kwel elim haina mwisho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…