Hongera kocha wa Taifa Stars kwa kuwa mkweli. Taifa stars haijaenda AFCON kushindana

Huwa najiuliza wale wachezaji wetu wanaoishi abroad nao hamna kitu!
Huko wanacheza timu za vichochoroni au
Wanachezea ligi daraja la tano England .

Amahl Anaechezea ligi daraja la kwanza Norway na kuwa mfungaji mwenye magoli mengi kocha hakumuhitaji .

Benard kamungo anaevuma ligi daraja la kwanza USA alikuja kuchezea Tanzania baadae akabadilisha mawazo amerudi kuchezea usa .
 
Source?
 
Unachekesha.

Mbona ya Feisal Salum aliingilia kati.

Sasa kocha wa taifa Stars aliyepewa dhamana ya kuinoa timu ndiyo anasema hakuna kitu hapa. Wewe nani unabisha?

Hivi kweli unajilinganisha na Mali? Unajua uwekezaji wa Mali ktk mpira? Mozambique akina Micquesone wanocheza Simba kama professional footballer lkn wala hajaitwa kwenye timu ya taifa. Unaelewa maana yake?? Yaani maana yake Micquesone ni kilaza kule Mozambique.

Kocha kaongea ukweli mtupu.
 
Kama ni kweli amesema hivyo anatukosea sana sisi ccm hajui namna tulivyoangaika kushawi michango ya taifa stars ..
Hao ccm ndiyo wanaoitia nuksi taifa stars.
 
Morocco 1 - 0 CCM (dakika ya 40).

Hongera kocha kwa kusema ukweli kuwa mmeenda kufanya utalii.
 
Morocco 3 - 0 CCM (dakika ya 80).

Hongera kocha wa taifa stars kwa kusema ukweli.
 
Sasa watu wanaomba dua zao nayeye anawakatisha tamaa? Afadhali angekaa kimya tu. Hata kama mwanao kiraza mpe moyo [emoji22]
Watu pekee wanaoitakia mema hii timu Ili baadae wake kutusimanga ni MbogaMboga pekee tuliobaki tunatamanj ibamizwe na kuchakazwa vibaya vibaya.
 
Watu pekee wanaoitakia mema hii timu Ili baadae wake kutusimanga ni MbogaMboga pekee tuliobaki tunatamanj ibamizwe na kuchakazwa vibaya vibaya.
Bora hii taifa stars itolewe ili kelele za inzi wa kijani zisiwepo.
 
Kuna watu watambishia kwa kusema ukweli huu eti kwakuwa wana matumaini ya ambacho hawakukipanda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…