Hongera,kutoka kwenye utumishi,hatimaye kuwa mkulima makini.

Hongera,kutoka kwenye utumishi,hatimaye kuwa mkulima makini.

Crocodiletooth

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2012
Posts
20,561
Reaction score
24,428
Congratulation,
My young brother,you turn the wheel well.
::Tutunze rekodi za kilimo na mavuno kila Mara,ili tujiandae vyema msimu ujao.
FB_IMG_16637704797967243.jpg
 
Nduli Iringa shamba alilonitapeli nilipomuwekea miundombinu ya umwagiliaji ekari 10. Pumbavu huyo, sema nimehama Iringa ila ningeenda kukatakata hizo drip nilizoinstall
Kwa hiyo ndio hapo hapo ambapo yupo kwenye shamba lililokuwa lako?
Watu wa mwendazake walikuwa ni watu wa kiatu kosakosa ngwaraaa!😁😁😁
 
Huu ni mfano mzuri, kumbe na wengine wa aina yake wanaweza kujiajiri wawaachie vijana wasio na ajira hizo nafasi zao nao watafute mitaji, sio kila wakiteuliwa ni asante mama.
 
Serekali yetu ingetengeneza utaratibu Kwa magraduate wetu ,wanapomaliza wakopeshwa tractor ,kupatiwa Ardhi ekari 10 na mengineyo!kama mkopo!
#Mnaona hapo jinsi alivyopendezea,hiyo fuso ikirudi hakosi mil 4-5.
 
Ana ubakika wa kurudi kama mwenzae Chalamila.

Yupo likizo ya miezi 8 hivi kisha atapewa mkoa
 
kwenye kazi za teuzi ni vyema ukawa na miradi yako kwakua hata ukistaafu utarudi kufanya yale uliojiwekeza ni jambo jema
 
Huyu ni Humphrey Polepole mwana wa kavumbagu alie mzaa Ally Happy wa Iringa baadae ali hamia Mara, Baada ya kutemwa kirungu muraa ali rudi Iringa hii ni historia fupi tu, natumai umenipata vilivyo. [emoji120][emoji855]
Dah haya nimeelewa kidogo
 
Back
Top Bottom