wa kupuliza
JF-Expert Member
- Jun 15, 2012
- 15,216
- 37,757
Mara kadhaa nimeona unalalamika hapa JF kudhulumiwa na huyo jamaa.Pole sana mkuu.Nduli Iringa shamba alilonitapeli nilipomuwekea miundombinu ya umwagiliaji ekari 10. Pumbavu huyo, sema nimehama Iringa ila ningeenda kukatakata hizo drip nilizoinstall
Gharama ya kuweka hizo drip kwa Hilo shamba lote Ni kiasi gani mkuu(roughly)?