Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 20,561
- 24,428
Kilimo ni kazi tena ya heshima kubwa hapa duniani.Hongera kwake, ameonesha njia...kilimo kinataka mtaji
Kwa hiyo ndio hapo hapo ambapo yupo kwenye shamba lililokuwa lako?Nduli Iringa shamba alilonitapeli nilipomuwekea miundombinu ya umwagiliaji ekari 10. Pumbavu huyo, sema nimehama Iringa ila ningeenda kukatakata hizo drip nilizoinstall
Huyu ni Humphrey Polepole mwana wa kavumbagu alie mzaa Ally Happy wa Iringa baadae ali hamia Mara, Baada ya kutemwa kirungu muraa ali rudi Iringa hii ni historia fupi tu, natumai umenipata vilivyo. [emoji120][emoji855]Ni nani huyo? Hongera zake
Congratulation,
My young brother,you turn the wheel well.View attachment 2363770
Dah haya nimeelewa kidogoHuyu ni Humphrey Polepole mwana wa kavumbagu alie mzaa Ally Happy wa Iringa baadae ali hamia Mara, Baada ya kutemwa kirungu muraa ali rudi Iringa hii ni historia fupi tu, natumai umenipata vilivyo. [emoji120][emoji855]