Hongera,kutoka kwenye utumishi,hatimaye kuwa mkulima makini.

Nduli Iringa shamba alilonitapeli nilipomuwekea miundombinu ya umwagiliaji ekari 10. Pumbavu huyo, sema nimehama Iringa ila ningeenda kukatakata hizo drip nilizoinstall
Mara kadhaa nimeona unalalamika hapa JF kudhulumiwa na huyo jamaa.Pole sana mkuu.

Gharama ya kuweka hizo drip kwa Hilo shamba lote Ni kiasi gani mkuu(roughly)?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…