Hongera kwa Bruno Gomes kwa kuasili (adopt )mtoto pale Singida

aka2030

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2013
Posts
2,657
Reaction score
3,679
Huyu mtumishi wa Mungu na mke wake baada ya kufika Singida walienda kituo cha kulea watoto na kumchukua mmoja ambaye kwa sasa wanaishi nae na mke wake kama mtoto wao

Hakika kwa imani na matendo yake nina imani mtoto atalelewa katika kumjua Mungu.

IMG_1770.jpeg
IMG_1771.jpeg
 
Naungana na wewe

Kijana mtu wa dini sana.
Wabrazil wengi ninaowafahamu ni walokole watu wa dini sana na ni wastaarabu. Mfano wachezaji wa Liverpool pale akina Fabinho, Alison na enzi hizo Firmino, Coutinho walikuwa ni watu wa imani sana walokole wa ubatizo wa maji mengi.

Mara kadhaa hata wakiwa mapumzikoni kwao Brazil wanaimba kwanya makanisani.
 
Ila huyo mtoto je atabadilishwa uraia au ataendelea kuwa Mtanzania. Na je ubin wake utabadilishwa? Maana naona sogo yeye ana passport ya Tanzania.

Mwenye uelewa kuhusu sheria za adoption za hapa Tanzania atupe somo.
 
Wabrazil wengi ninaowafahamu ni walokole watu wa dini sana na ni wastaarabu. Mfano wachezaji wa Liverpool pale akina Fabinho, Alison na enzi hizo Firmino, Coutinho walikuwa ni watu wa imani sana walokole wa ubatizo wa maji mengi.

Mara kadhaa hata wakiwa mapumzikoni kwao Brazil wanaimba kwanya makanisani.
Yule kaka siku hz ni pastor, kuna yule golikipa alidaka WC 94 Marekani nae ni Rev
 
Wabrazil wengi ninaowafahamu ni walokole watu wa dini sana na ni wastaarabu. Mfano wachezaji wa Liverpool pale akina Fabinho, Alison na enzi hizo Firmino, Coutinho walikuwa ni watu wa imani sana walokole wa ubatizo wa maji mengi.

Mara kadhaa hata wakiwa mapumzikoni kwao Brazil wanaimba kwanya makanisani.
Sio kweli asilimia kubwa ya wabrazili ni wapenda starehe kina dinho,delima,andriano jamaa walikuwa wakikesha usiku na malaya pamoja na ulevi alafu asubuhi yake wanaingia mazoezi.
 
Back
Top Bottom