Hongera kwa Bruno Gomes kwa kuasili (adopt )mtoto pale Singida

Hongera kwa Bruno Gomes kwa kuasili (adopt )mtoto pale Singida

Aisee, mbele ni mbele tuu,mtoto mbona amefanana sana na wanandoa hao!
 
ILA mbona kama pasipot ya mtoto ni za watumish wa umma mkuu hii imekaaje - au zA Watoto nazo zinakuw hvyo?
 
Ila huyo mtoto je atabadilishwa uraia au ataendelea kuwa Mtanzania. Na je ubin wake utabadilishwa? Maana naona sogo yeye ana passport ya Tanzania.

Mwenye uelewa kuhusu sheria za adoption za hapa Tanzania atupe somo.
Akishaadoptiwa maana yake ana haki ya kutumia jina hilo jipya la ubini na kuwa na uraia wa hao wazazi wapya
 
Uniasili nikakae nje ya nchi sio humu humu mara urambo mara shinyanga😁
Humu humu ndiyo pazuri Mkuu, unapelekwa Mtwara kula ming'oko au unapelekwa Morogoro ukale magimbi au unapelekwa Mwanza ukale Sato 😅

Wahi kujaza fomu uniletee mapema 🏃🏃
 
Back
Top Bottom