Nimeshakuwa family man sasa, aisee kama siyo familia huniweki Bongo hata kwa viboko, yani kwa sasa nikisafiri nje ni short stay tu.
Yani ukiacha kujichanganya pili acheni ubahiri, usiingie dating site za free, jiunge na dating site za kulipia utakuja kunishukuru, make sure bank account yako una Viza card inayokupa access ya kufanya malipo direct kutoka kwenye account yako kwenda popote.
Halafu hizo account zenu za Facebook safisha kabisa ondowa matakataka au funguwa mpya.
In six month period utakuja kutowa testimony hapa.