Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Kuna mambumbumbu yanawadanganya mbumbumbu wenzao kwamba Gomez haendani na kasi ya timu yao kwa hiyo hawamuhitaji, yani nabaki nacheka tu.😀😀Gomez ana kila sifa ya kuwa katika kikosi cha Wananchi