Hongera kwa Bruno Gomes kwa kuasili (adopt )mtoto pale Singida

Hongera kwa Bruno Gomes kwa kuasili (adopt )mtoto pale Singida

Wabrazil wengi ninaowafahamu ni walokole watu wa dini sana na ni wastaarabu. Mfano wachezaji wa Liverpool pale akina Fabinho, Alison na enzi hizo Firmino, Coutinho walikuwa ni watu wa imani sana walokole wa ubatizo wa maji mengi.

Mara kadhaa hata wakiwa mapumzikoni kwao Brazil wanaimba kwanya makanisani.
Wachezaji hao wote wa Liverpool wabrazil unawafahamu?
 
ILA mbona kama pasipot ya mtoto ni za watumish wa umma mkuu hii imekaaje - au zA Watoto nazo zinakuw hvyo?
Hamna tofauti ya passport ya mtoto na ya mtumishi wa umma passport zote ni sawa labda ingekuwa ya kidiplomasia
 
Back
Top Bottom