Hongera kwa Bruno Gomes kwa kuasili (adopt )mtoto pale Singida

Hongera kwa Bruno Gomes kwa kuasili (adopt )mtoto pale Singida

Sijui story imekaaje ila jamaa ni mstarabu sana
Imekaa kama ilivyoandikwa na amefanya jambo jema
Mzungu mzungu tu,usikute jamaa hana mshahara mkubwa wala maisha makubwa lkn moyo wa kusaidia anao,akina sisi sasa ndugu tu humtaki
ndugu lawama
Ila huyo mtoto je atabadilishwa uraia au ataendelea kuwa Mtanzania. Na je ubin wake utabadilishwa? Maana naona sogo yeye ana passport ya Tanzania.

Mwenye uelewa kuhusu sheria za adoption za hapa Tanzania atupe somo.
sasa anaongea kireno vema tu
Baadaye lazima uraia abadili
 
Sio kweli asilimia kubwa ya wabrazili ni wapenda starehe kina dinho,delima,andriano jamaa walikuwa wakikesha usiku na malaya pamoja na ulevi alafu asubuhi yake wanaingia mazoezi.
Mkuu unataka nianze kukufundisha kusoma? Au umeamua tu uni quote ili tuanze kubishana.

Hebu soma tena basi sentensi yangu yakwanza kabisa.
 
Hivi kuasili ina limitation ya umri, nikiomba mtu anichukue kama hivo inawezekana? Au niache ujinga...
Wewe tafuta ndoa. Kama una hela ya nauli nakuunga na jamaa yangu anakuoa ndoa ya mchongo ukipata visa ya makazi baada ya muda unatembea mbele kufanya mbishe zako.
 
Natangaza rasmi hapa kumiasili [mention]Evelyn Salt [/mention] na kwa sasa makazi yake rasmi itakua bariadi, uzuri hakuna passport ni tiketi za basi tu na zaidi tukipachoka bariadi tutahamia uyole mbeya
 
Hivi kuasili ina limitation ya umri, nikiomba mtu anichukue kama hivo inawezekana? Au niache ujinga...
Kwa huku Mburahati hakuna limitation. Panda daladala la Mnazi mmoja - Mburahati kupitia Kigogo shukia Madoto uje "nikuasili" kwa siku 3.
 
Wabrazil wengi ninaowafahamu ni walokole watu wa dini sana na ni wastaarabu. Mfano wachezaji wa Liverpool pale akina Fabinho, Alison na enzi hizo Firmino, Coutinho walikuwa ni watu wa imani sana walokole wa ubatizo wa maji mengi.

Mara kadhaa hata wakiwa mapumzikoni kwao Brazil wanaimba kwanya makanisani.
Wabrazil wote katoliki, sema ni kalismatic/emaus.
 
Back
Top Bottom