Gift mzalendo
JF-Expert Member
- Dec 13, 2019
- 1,856
- 2,417
Amugabo tshalanda mukulu ikolo iranda mabuzu muholo..Kwa tabia ya baadhi watz kutaka kushauri na kuchambua na hata kukosoa mataifa makubwa Kama Us China kwenye mambo waliooshindwa
Nisengeshangaa kuwashauri Wanyarwanda
Endeleeni kuitana huku muendelee kujadili mambo yenu π
INGAwa bado natamani Sana umoja wa EA ufikie level za juu kiasi kwamba nchi zote ziwe majimbo na nchi moja ya EA
Amugabo tshalanda mukulu ikolo iranda mabuzu muholo..
[/QUOTE
Kiboko yenu JK
Kwamba Kinyarwanda hakifahamiki na watu wengine isipokuwa wao tu? Mbona hadi wachina wanaifahamu hiyo lugha sembuse watanzania jirani tu hapo!Kwa tabia ya baadhi watz kutaka kushauri na kuchambua na hata kukosoa mataifa makubwa Kama Us China kwenye mambo waliooshindwa
Nisengeshangaa kuwashauri Wanyarwanda
Endeleeni kuitana huku muendelee kujadili mambo yenu π
INGAwa bado natamani Sana umoja wa EA ufikie level za juu kiasi kwamba nchi zote ziwe majimbo na nchi moja ya EA
We kwani ndio leo unawaelewa wa Tanzani. Jamaa yuko kule katavi ana winda digidigi afu anachambua vita vya Ukraine na Mrusi. Hapo Rwanda ni pua na mdomo tu ashindwe kuichambua Rwanda.Kwa tabia ya baadhi watz kutaka kushauri na kuchambua na hata kukosoa mataifa makubwa Kama Us China kwenye mambo waliooshindwa
Nisengeshangaa kuwashauri Wanyarwanda
Endeleeni kuitana huku muendelee kujadili mambo yenu π
INGAwa bado natamani Sana umoja wa EA ufikie level za juu kiasi kwamba nchi zote ziwe majimbo na nchi moja ya EA
Na hao Wanyarwanda waliopo nje ya Rwanda mfano Ulaya na Marekani wanakifahamu Kinyarwanda, au Wanyarwanda waliomo Rwanda wameanza kuwatenga Wanyarwanda wenzao waliokimbia nchi wakati wa vita?Kwa tabia ya baadhi watz kutaka kushauri na kuchambua na hata kukosoa mataifa makubwa Kama Us China kwenye mambo waliooshindwa