Hongera kwa Wanarwanda kwa kutumia lugha yenu kujadili mambo yenu , baadhi ya Watz wangeweza kuingilia mijadala yenu na kuwashauri yaliyowashinda 😀

Gift mzalendo

JF-Expert Member
Joined
Dec 13, 2019
Posts
1,856
Reaction score
2,417
Kwa tabia ya baadhi watz kutaka kushauri na kuchambua na hata kukosoa mataifa makubwa Kama Us China kwenye mambo waliooshindwa
Nisengeshangaa kuwashauri Wanyarwanda

Endeleeni kuitana huku muendelee kujadili mambo yenu 🙏

INGAwa bado natamani Sana umoja wa EA ufikie level za juu kiasi kwamba nchi zote ziwe majimbo na nchi moja ya EA
 
Mimi kwa maoni yangu, huo ni ushamba na ubinafsi.....dunia inazidi kuwa kijiji, na mawasiliano ni mmoja ya kuunganisha walimwengu...!, mukizidi kujificha na lugha zenu zinazo zungumzwa na watu wachache? mta baki gizani watu wakisonga.........
 
Kwa tabia ya baadhi watz kutaka kushauri na kuchambua na hata kukosoa mataifa makubwa Kama Us China kwenye mambo waliooshindwa
Nisengeshangaa kuwashauri Wanyarwanda

Endeleeni kuitana huku muendelee kujadili mambo yenu 🙏

INGAwa bado natamani Sana umoja wa EA ufikie level za juu kiasi kwamba nchi zote ziwe majimbo na nchi moja ya EA
Amugabo tshalanda mukulu ikolo iranda mabuzu muholo..
 
Kwa tabia ya baadhi watz kutaka kushauri na kuchambua na hata kukosoa mataifa makubwa Kama Us China kwenye mambo waliooshindwa
Nisengeshangaa kuwashauri Wanyarwanda

Endeleeni kuitana huku muendelee kujadili mambo yenu 🙏

INGAwa bado natamani Sana umoja wa EA ufikie level za juu kiasi kwamba nchi zote ziwe majimbo na nchi moja ya EA
Kwamba Kinyarwanda hakifahamiki na watu wengine isipokuwa wao tu? Mbona hadi wachina wanaifahamu hiyo lugha sembuse watanzania jirani tu hapo!
 
Kwa tabia ya baadhi watz kutaka kushauri na kuchambua na hata kukosoa mataifa makubwa Kama Us China kwenye mambo waliooshindwa
Nisengeshangaa kuwashauri Wanyarwanda

Endeleeni kuitana huku muendelee kujadili mambo yenu 🙏

INGAwa bado natamani Sana umoja wa EA ufikie level za juu kiasi kwamba nchi zote ziwe majimbo na nchi moja ya EA
We kwani ndio leo unawaelewa wa Tanzani. Jamaa yuko kule katavi ana winda digidigi afu anachambua vita vya Ukraine na Mrusi. Hapo Rwanda ni pua na mdomo tu ashindwe kuichambua Rwanda.

Hapa kuna Makamanda wanamshinda Mkunda 😄
 
Rwanda nao Wana "mambo Yao?!"na hawapendi Tanzania kuwajadili!?
 
Kwa tabia ya baadhi watz kutaka kushauri na kuchambua na hata kukosoa mataifa makubwa Kama Us China kwenye mambo waliooshindwa
Nisengeshangaa kuwashauri Wanyarwanda

Endeleeni kuitana huku muendelee kujadili mambo yenu 🙏

INGAwa bado natamani Sana umoja wa EA ufikie level za juu kiasi kwamba nchi zote ziwe majimbo na nchi moja ya EA
Na hao Wanyarwanda waliopo nje ya Rwanda mfano Ulaya na Marekani wanakifahamu Kinyarwanda, au Wanyarwanda waliomo Rwanda wameanza kuwatenga Wanyarwanda wenzao waliokimbia nchi wakati wa vita?

Kumbe ubaguzi huwa hauishi mkianza kubaguana!
 
Back
Top Bottom