Hongera kwa wanawake wote

Hongera kwa wanawake wote

ntuchake

JF-Expert Member
Joined
Apr 17, 2024
Posts
408
Reaction score
1,549
Napenda kutoa hongera kwa wanawake wenzangu wote ambao wanadate kimya kimya bila showoff kwenye social media.

Hakuna picha hakuna video wala hakuna story yoyote tunayoshea social media kuonesha tupo inlove sie twala kimya kimya.

Mungu atubariki ili tendelee kuajiri tuendelee ku hire hivi viumbe vinavoitwa wanaume mpaka pale mtu sahihi wakua commitment nae atakapopatikana.
 
1724513466323.png

Kuna vitu vingine ni busara tu kutokuwa na show off.
 
Napenda kutoa hongera kwa wanawake wenzangu wote ambao wanadate kimya kimya bila showoff kwenye social media.

Hakuna picha hakuna video wala hakuna story yoyote tunayoshea social media kuonesha tupo inlove sie twala kimya kimya.

Mungu atubariki ili tendelee kuajiri tuendelee ku hire hivi viumbe vinavoitwa wanaume mpaka pale mtu sahihi wakua commitment nae atakapopatikana.
Tena nyie wa kimya kimya huwa mna msururu wa hatari. Unakuta umezipanga njemba kama 20 hivi.
Bora wanaojitangaza.
 
Kama una Mabwana unajaza basi lote la Sauli utakuwaje na ujasiri wa kuwaposti?

Mahusiano ya sasa ukiona unadate Mwanamke halafu Kila baada ya miezi 3 ukienda kupima hukutwi na HIV/UTI/Kaswende/Gono ni jambo la kushukuru Mungu, maana kama kupangwa, Wanaume tunapangwa sana miaka hii 🙌
 
Napenda kutoa hongera kwa wanawake wenzangu wote ambao wanadate kimya kimya bila showoff kwenye social media.

Hakuna picha hakuna video wala hakuna story yoyote tunayoshea social media kuonesha tupo inlove sie twala kimya kimya.

Mungu atubariki ili tendelee kuajiri tuendelee ku hire hivi viumbe vinavoitwa wanaume mpaka pale mtu sahihi wakua commitment nae atakapopatikana.
👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻😜
 
Back
Top Bottom