- Thread starter
- #21
Nyie mbona mnatupanga wanawake 20 na hatusemi?Kama una Mabwana unajaza basi lote la Sauli utakuwaje na ujasiri wa kuwaposti?
Mahusiano ya sasa ukiona unadate Mwanamke halafu Kila baada ya miezi 3 ukienda kupima hukutwi na HIV/UTI/Kaswende/Gono ni jambo la kushukuru Mungu, maana kama kupangwa, Wanaume tunapangwa sana miaka hii 🙌