Hongera kwa wanawake wote

Hongera kwa wanawake wote

Napenda kutoa hongera kwa wanawake wenzangu wote ambao wanadate kimya kimya bila showoff kwenye social media.

Hakuna picha hakuna video wala hakuna story yoyote tunayoshea social media kuonesha tupo inlove sie twala kimya kimya.

Mungu atubariki ili tendelee kuajiri tuendelee ku hire hivi viumbe vinavoitwa wanaume mpaka pale mtu sahihi wakua commitment nae atakapopatikana.
Nampongeza babe wangu sweery kwa upambanaji πŸ˜‚πŸ˜‚πŸƒ πŸƒ
 
Back
Top Bottom