Nyie mbona mnatupanga wanawake 20 na hatusemi?Kama una Mabwana unajaza basi lote la Sauli utakuwaje na ujasiri wa kuwaposti?
Mahusiano ya sasa ukiona unadate Mwanamke halafu Kila baada ya miezi 3 ukienda kupima hukutwi na HIV/UTI/Kaswende/Gono ni jambo la kushukuru Mungu, maana kama kupangwa, Wanaume tunapangwa sana miaka hii π
Ni mwendo wa kimya kimya tu π€π€Tupo almost miaka nane ila hata picha tulopiga pamoja hakuna.ila tunapendana balaa japo Niko single.
Kwa wengine hizo likes ndo affirmations kuwa wanapendwa.Huwa sioni point ya kuweka mahusiano na maisha yako binafsi mtandaoni kwaajiri ya kuvuna likes.
Its better kukaa tu kimya na kuishi in privacy.
Lakini ni vizuri kuna watu hawapendi show-off.Ni mwendo wa kutoa ajira tu mpaka mtu sahihi apatikane! Uzuri wa ajira tunazowapa wao ndo wanatulipa mishahara
DaaahTupo almost miaka nane ila hata picha tulopiga pamoja hakuna.ila tunapendana balaa japo Niko single.
Hakyanani vile,we upo singleπ€£Tupo almost miaka nane ila hata picha tulopiga pamoja hakuna.ila tunapendana balaa japo Niko single.
Ila hajuiDaaah
Ila hajui.niko single eeh hatuna ndoa.Hakyanani vile,we upo singleπ€£
Mnakula kimya kimya au mnaliwa kimya kimya.Napenda kutoa hongera kwa wanawake wenzangu wote ambao wanadate kimya kimya bila showoff kwenye social media.
Hakuna picha hakuna video wala hakuna story yoyote tunayoshea social media kuonesha tupo inlove sie twala kimya kimya.
Mungu atubariki ili tendelee kuajiri tuendelee ku hire hivi viumbe vinavoitwa wanaume mpaka pale mtu sahihi wakua commitment nae atakapopatikana.
Eeeh mdogo wa mimi wewe hutaki kuwapanga huko inbobo?Highest level of sarcasm πππ
Aloooh,akijua bby wake yupo single atashangaa sanaIla hajui.niko single eeh hatuna ndoa.
Atajuaje na mie namuambia tuko pamojaAloooh,akijua bby wake yupo single atashangaa sana
We ulifikiri aje π€£Maslahi tena.
Mbona unafanya nijiskie mnyonge tena πππππ₯Ίπ₯Ίπ₯Ίπ₯Ίπ₯Ί
Ni kweli. Mtu huna mahusiano ya kueleweka alafu unashea mwanaume social media huko ni kujikosesha bahatiHuwa sioni point ya kuweka mahusiano na maisha yako binafsi mtandaoni kwaajiri ya kuvuna likes.
Its better kukaa tu kimya na kuishi in privacy.
Wanahudumia so tunakulaMnakula kimya kimya au mnaliwa kimya kimya.