Leonel Ateba Mbinda
JF-Expert Member
- Feb 20, 2023
- 644
- 2,695
Arusha iko moto kama Mamelodi Sundowns, winga Gambo winga Makonda mshambuliaji mzee Sabaya.
Kwa kweli nakushauri Lema rudi Canada ukale hela za bure huko, we unawaambia watu ubunge sio kazi kwako halafu hapo hapo unatangaza kugombea tena kama sio uchizi ni nini.
Unawaambia watu huwezi kwenda bungeni kulalamikia ubadhirifu halmashauri, au huwezi kulilia maji bungeni yaan unasisitiza kabisa you never do that, ushaletewa wababe wa vita, utakuwa mbunge wa mitandaoni tu sasa hv.